Alexism
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 3,423
- 2,045
Nyie machari ani wa matz hamnaga swaga mazee labda mlete madu wenu apa Nairobi asiiBado unashangilia.
Nyie machari ani wa matz hamnaga swaga mazee labda mlete madu wenu apa Nairobi asiiBado unashangilia.
We jamaa unakiwaruwaru huaga!!Najua kuongea kitswana lugha ya Botswana wanashangilia sana msuva ,na mbwana Samata Kama Btv television ya Botswana kama mnaipata angalieni
Mama K huyoWe jamaa unakiwaruwaru huaga!!
DumelangaSasa hv wa swana wanaongea lugha vibaya jamaa haelewi,subirini kesho atatuambia "kotama ay shibate"
Na huko Botswana umeenda kuongoza vikosi vya kuteka, kutesa na kuua au siyo? Masikini Wabotswana...laiti wangejua kwamba wewe ni mojawapo katika wasiojulikana hapa kwetu TZ! Wapinzani wa huko kaeni chonjo, wauaji wameingia nchini kwenu na muda si mrefu risasi zitaanza kumiminika na huko pia.Najua kuongea kitswana lugha ya Botswana wanashangilia sana msuva ,na mbwana Samata Kama Btv television ya Botswana kama mnaipata angalieni
Bado anashangilia na watswana wake!! Imebidi waanze kukodi watu wa kulia msibani!!! Tabia zilezile za kwenye kampeni...Bado unashangilia.