Niko 20's na akiba ya milioni 50, wewe je?

Nimezaliwa katikati ya miaka ya 90 hospitali moja kubwa hapa nchini kwa maana hiyo kwa sasa niko 20's na approach 30 sasa ila kikubwa niko na 50 milion of money kwenye account ya bank moja hapa nchini bado kwenye bank zingine ninazo mipunga mingine ya kutosha kwasababu ya discipline yangu ya pesa japo sijaoa na sina mpango huo


Je wewe mwenzangu kwa huo umri wako umesave shilingi ngapi? Au wewe ni full Bata? Kwa umri wako mpaka sasa unahaha na shilingi 10000 huo ni ujinga na ukichaa au umesave umbea,majungu na fitina? Pambana.


"Jamii forum sie wengine ni platform ya kuondoa stress na kujoin na wana! Mimi ni introvert si mtu ku interact na watu" simu ndiyo mshikaji wangu
Huna hiyo pesa sijasoma yote ila huna hiyo hela, utajiuliza why nahoji? Simple tu my instinct tells me. Usitafute umaarufu wa kijinga mzee.
 
Nimezaliwa katikati ya miaka ya 90 hospitali moja kubwa hapa nchini kwa maana hiyo kwa sasa niko 20's na approach 30 sasa. Ila kikubwa niko na 50 milion of money kwenye account ya bank moja hapa nchini bado kwenye bank zingine ninazo mipunga mingine ya kutosha kwasababu ya discipline yangu ya pesa japo sijaoa na sina mpango huo.

Je, wewe mwenzangu kwa huo umri wako umesave shilingi ngapi? Au wewe ni full Bata? Kwa umri wako mpaka sasa unahaha na shilingi 10000 huo ni ujinga na ukichaa au umesave umbea, majungu na fitina? Pambana.

Jamii forums sie wengine ni platform ya kuondoa stress na kujoin na wana! Mimi ni introvert si mtu ku interact na watu" simu ndiyo mshikaji wangu.
Kijana yaan pesa Za kampuni yangu unakuja kujitambia Jamii forum kweel
Juma tatu nisikuone kazini
 
Akiba yangu ni hii, sina wasi wasi maana najua kila mtoto atakuja na riziki yake na nikizichanganya nitakuwa tajiri.
20230114_130059.jpg
 
Fashion trends are for losers.
Celeb worship is for losers.
Masturbation is for losers.
Prostitutes are for losers.
Immorality is for losers.
Fast food is for losers.
Obesity is for losers.
Fads are for losers.
Weed is for losers.
Porn is for losers.

None will make you a winner.
 
Tunaomba radhi kwa wote watakaokwazika mwandishi ni mmoja wa wagonjwa wetu katika hospital yetu ya crazy for life.

Ndugu Mwana mzizima, alifanikiwa kutoroka jana na kuiba simu ya ofisi na Sasa anaropoka hovyo tu.

Tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaahidi tutalishughulikia hivyo mvumilieni.

Ninaambatanisha ushahidi wa vyeti alivyovipata kutoka hospital yetu.
View attachment 2480615
 


Mental illness is REAL in TANZANIA ...
 
Labda kuna mbususu unazitafuta ila kwa wengine tupo palee tunaendelea na mambo mengine
JamiiForums634242635.jpg
 
Back
Top Bottom