Nikki Mbishi , umeniangusha kwenye Interview Clouds Fm,leo.

Nikki Mbishi , umeniangusha kwenye Interview Clouds Fm,leo.

Ata iweje nikki mbishi one na kadigo ndo my best rappers,hyo memgne nawaachia nyie.
 
nikki mbishi ana tatizo moja

anafanya hipop ya Kibifu muda wote

hasifii mapenzi,mazingira wala pesa
yaani mara nyingi ana mlenga mtu fulan alafu pia anaogopa kuonekana yupo chini ila sasa ndo kasema mziki haumlip

ana akili na kipaji lakini hakujaribu mengi katika huo huo mziki wa hipop
Masai Dada na wewe unafuatilia hiphop
 
Back
Top Bottom