Nikki Mbishi , umeniangusha kwenye Interview Clouds Fm,leo.

Nikki Mbishi , umeniangusha kwenye Interview Clouds Fm,leo.

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,062
Reaction score
3,280
Maswali unayoulizwa unajibu tofauti kabisa .

Umeshindwa kuitetea HipHop .

Umeshindwa kukiri HipHop unayoifanya Si Commercial .

Nilichikiona mm ni hiki

Una Stress ya kimzikii ,ulitamani kupata mafanikio makubwa kwnye Game kuliko ulivyotarajia .

Jipange Brother . / Kama unajipaji cha kufanya HipHop .. ww fanya .. si lazina Kufanikiwa kupitia mziki .

Imba as Kuentertain ... acha kutegemea Mziki tu ,si lazima wote mfanikiwe kwnye game moja Kama Diamond .

Muangalie

Nas pamoja Lupe Fiesco .

Wanimba as Kipajo kufight HipHop pia isife

Mwana HipHip hakimbii game hata siku moja
 
Nikki mbishi ndio msanii mwenye iq kubwa kuliko wote tanzania
ila interview ya leo sijaisikia
 
Hivi nikki mbishi ndio nikki wa pili? Binafsi, sijawahi ona msanii wa bongo, yaani miziki yoooye kuanzia taarabu, michiriku, mduara, ngwasuma, nk mwenye IQ ya juu kama Nikki wa Pili. Anaongea kwa hoja, anajibu maswali kwa hoja na yuko composed. Sijui kama huyo Nikki Mbishi ndo Nikki wa Pili, pia sijasikiliza hiyo interview ya Nikki Mbishi. Ila namkubali sana Nikki wa Pili.
 
Injinia nikki mbishi ndio mwenye iq kubwa kuliko nikki wa pili
 
nikki mbishi ana tatizo moja

anafanya hipop ya Kibifu muda wote

hasifii mapenzi,mazingira wala pesa
yaani mara nyingi ana mlenga mtu fulan alafu pia anaogopa kuonekana yupo chini ila sasa ndo kasema mziki haumlip

ana akili na kipaji lakini hakujaribu mengi katika huo huo mziki wa hipop
 
Embu nitajie nyimbo tatu tu za Nikki mbishi
 
Nadhan kwa sasa hata yeye pia anajutia maamuzi yake ila tu anayasimamia kwa kuwa ndo aliishaamua na hataki kuonekana kigeugeu!
Kibongo bongo muziki ni mgumu hasa hip hop. Watu wanataka kusikiliza vitu vyepesi vyepesi visivyo fikirisha. Ukitumia tamathali za semi nyingi watu hawakuelewi, hili ni tatizo!

kiukweli ukitaka kukubalika kimuziki bongo unapaswa kuwalenga wadada yaan wakikuelewa tu, we lazima utatusua! na wadada hawataki vitu vigumu!
usipofanya hivyo utakuwa unakubalika kwa washkaji wa kitaa, watakujaza sifa za kila aina ila hawaji kwenye show wala kazi zako hawanunui na hata kwenye tuzo kura hawakupigii;

Sidhan kama NicK haulijua hili, na kama alilijua kwanini anakuwa shocked kuona muziki wake hauuzi? Nick kasanda game, huo ndo ukweli! ila haitendei haki hip hop kama wote wangefanya kama yeye sidhani kama hata haya mafanikio madogo katika industry yangepatikana.
 
Mweee baba malcom amejibuje kwan hayo maswali
 
nikki amebeba mengi ndani ya nafsi yake na huenda leo alikuwa kakutana na adui wake kashindwa kupigana naye ni jambo la kutulia tutayajua mengi

Namshangaa sana watu waliomfanya aamue kuacha muziki wanamwita kwenye interview nae anaenda
 
Kwa jinsi alivyojibu interview yake kwenye Clouds, yani nimempa big up sana. Nimeamini ana utashi mkubwa sana na ndio maana kumbe ana uwezo wa kutunga mashairi. Mi kwa kweli nampa A...
 
Sikutegemea kuona Baba Malcom kama angeenda kwenye radio ya Wafuu
 
Watu wanakimbilia tu muziki bila tafakuri. Kwa akili ya haka kajamaa na tungo zake zilizoenda shule ilibidi aimbe kwenye bendi na si Karaoke...huo ujinga wa Hip Hop wawaachie wenyewe wamarekani. Watu waache kujifananisha na wamarekani.
 
Kwahiyo mnaamini kuwa bongo imefika hapo ilipo kwa sababu watu wanapenda meneno laini laini??
 
nikki mbishi ana tatizo moja

anafanya hipop ya Kibifu muda wote

hasifii mapenzi,mazingira wala pesa
yaani mara nyingi ana mlenga mtu fulan alafu pia anaogopa kuonekana yupo chini ila sasa ndo kasema mziki haumlip

ana akili na kipaji lakini hakujaribu mengi katika huo huo mziki wa hipop

unataka nyimbo ya aina gani ya nikki mbishi ??
 
Hivi nikki mbishi ndio nikki wa pili? Binafsi, sijawahi ona msanii wa bongo, yaani miziki yoooye kuanzia taarabu, michiriku, mduara, ngwasuma, nk mwenye IQ ya juu kama Nikki wa Pili. Anaongea kwa hoja, anajibu maswali kwa hoja na yuko composed. Sijui kama huyo Nikki Mbishi ndo Nikki wa Pili, pia sijasikiliza hiyo interview ya Nikki Mbishi. Ila namkubali sana Nikki wa Pili.

unawajua sana kuwatofautisha ila wafanya kusudi
 
Back
Top Bottom