Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,286
- 10,833
Nimekuwa nafuatilia mziki kwa muda mrefu. hivi sasa namuona huyu msanii nikk mbish au baba malcom, analeta bifu zisizo na msingi.alianza kumponda nakki wa pili ktk wimbo wa punchi kwenye line, amemponda bonta ktk track ya undisputed. alivyohojiwa akasema anawachallenge! nikadhani ni kweli. ktk mixtape ya underground legendary amesema "namponda conscious mc, bonta...." na hii ni challenge? ktk mixtape hiyohiyo track inayoitwa mr dream, kamtaja tena nikki wa pili. weusi wapo kimya ila inaonyesha wazi kuwa wanachukizwa na hizi dis. sasa ninachojiuliza, huyu nikki mbishi kama anapenda challenges mbona hakuwajibu kamba 2 kamba waliopenda kujibizana nao tena waliwatukana sana kipindi yuko lunduno? anakomaa na weusi. na mashabiki wapo tu hawamchani jamaa anavyoenda hovyo. jamaa kimsingi ana uwezo mzuri wa kuandika. lakini mimi nahate dis za kutajana majina. kama anaponda angalau atumie fasihi kubwa kama kina uno wanavyofanya.amani itawale