mwanakijiji lugusi
Senior Member
- Apr 13, 2016
- 128
- 96
Nimesoma vigezo vyao...omba ufadhili wa Mo dewji
Deadline tar 20.wahi kuomba ufadhili wa Mo dewji deadline ni trh10 kama sijakosea
VP naweza pata link yaoDeadline tar 20.
Una link yake mkuu,wahi kuomba ufadhili wa Mo dewji deadline ni trh10 kama sijakosea
Google Search jamiiforums jukwaa la elimu mo schollarship.VP naweza pata link yao
acha uoga mkuu...mwaka huu tutawapa wote...hata wale ambao hawakuombaNi kusubiri tu muda utaamua. Maombi yatasaidia lakini vilio vitakuwepo.
Freshacha uoga mkuu...mwaka huu tutawapa wote...hata wale ambao hawakuomba
Subiri walishasema wanatarajia kutoa kwa 30000 tu na waombaji sio chini ya 60000. Mkuu sina waoga niko nje ya waombaji wakati wetu ukipata chuo serikali inakulipia.acha uoga mkuu...mwaka huu tutawapa wote...hata wale ambao hawakuomba