Mimi ningekua rais:
Nikulifumua jeshi la police na kuwapa mafunzo upya. Lisiwe jeshi la kuonea watu Bali kulinda Raina na Mali zake kwa vitendo.
Badiri sheria za nchi, kupunguza au kuondoa upigaji wa Mali za umma.
Kubadili mfumo wa uongozi kuanzia kwa waziri mkuu, baraza la mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya, wakufugenzi, RAS DAS mpaka serikali za vijiji.
Machache ni hayo