Nikiwa Rais

Mkuu hakuna ulichoongea ni sifuri bila kutaja katiba mpya.nakwambia akitokea Raisi Kama Mzee Gadafi hakuna atakayemuelewa.Tunataka mifumo Kama Marekani na Kenya.Ata mh.Raisi Samia hii concept ya kujenga mifumo imara inabidi haiweke kwenye mpango KAZI wake.
 
Sasa hapo kipaombele chako hasa ni kipi?
 
1)Ninge vunja Katiba iliopo na kuanzisha mpya. ambayo Inge mpunguzia madaraka raisi nakumwondolea Kinga ya kuto kushtakiwa
ili kurinda uharifu wa kimadaraka kusudi iwapo Kuna ufisadi aliutenda kabra ashtakiwe baada kwa mujibu wa Katiba yangu mpya.

2)ningewaita wazee na viongozi wa zamani Kama Akina tundulisu, mwandosya,warioba,naviongozi wengine wenye hekima na busara
ningewfanya
kuwa washauri wa raisi ikuru kwenye maswala mbali mbali yanayo husu masrahi ya taifa letu

3)ninge hakikisha kilakata naweka chuo Cha ufundi
kusudi wale watakao feri mtihani wadarasa la Saba na form four wasipewe vieti mpaka watakapo maliza elimu ya ufundi veta

[emoji117]Lengo likiwa nikupunguza wimbi la ajira linalo ikabili inchi.hatimaye kuzarisha vikundi vya kiharifu Kama panya road,wakorea weusi,nk

[emoji117]Badara yake vijana wangejiajiri kutokana na elimu ya ufundi waliyo ipata vyuo vya ufundi hata baada ya kushindwa kuendelea na masomo yao na kuipunguzia serikali na wazazi mzigo wa kusomesha

Lakini kwa wale ambao hawata bahatika kuferi wataendelea na utaratibu uliopo lakini baada ya kuhitimu itawa lazimu kupata elimu ya ufundi ndipo wachukue vyeti vya uhitimu kusudi elimu hiyo iwasaidie huko mtaani wakiwa Wana endelea ku subiri ajira serikarini

Lakini pia wangeendelea kupata pesa kwa ajili ya masomo yao ya elimu yajuu badara ya kutegemea mikopo serikarini wakati huo huo pesa za mikopo zingetumika kwa maendeleo mengine ya inchi Kama

I:Walimu kupandishiwa mishahara mpaka kufikia mili.1kwa mwezi ujenzi wa miundo mbinu nk

4)ninge hakikisha kesi zote za ndoa Zina tatuliwa na familia husika na viongozi wa dini.
kwani hao ndiyo wanawajua vizuri wanandoa hao lakini pia lengo likiwa ni kulinda maadili yetu nakuwapunguzia mizigo polisi na ustawi wa jamii

5)kwasababu inchi ime barikiwa vyanzo vya maji ikiwemo mito,mabwawa,na maziwa Basi ninge fanya hivi[emoji116][emoji116]

[emoji117]Ninge funga mitambo ziwa Victoria yakupeleka maji kaskazini yote

ambayo yangetumika kwa matumizi ya binadamu,mifugo,na kilimo Cha umwagiliaji ikiwemo mabomba mengine kupelekwa mtera kwa ajiri ya umeme

Kusudi tuwe na umeme kiangazi na masika

[emoji117]Ninge funga mitambo ziwa tanganyika ya kusukuma maji magha ribi yote ya inchi yangu kwa ajili ya binadamu,mifugo na umwagiliaji

[emoji117]Ninge funga mitambo ya kusukuma maji maji ziwa nyasa kwa ajiri ya kusini yote ya inchi yangu kwa ajiri ya shughuri mbalimbali za kibinadamu

Vyanzo vingine vidogo vidogo vinge saidia kwa vipindi vinavyo weza

hata hivyo Ninge hakikisha mbuga na hifadhi zote Zina mifumo wezeshi ya maji kwa ajiri ya Maisha ya wanyama mbugani hasa vipindi vya kiangazi

kusudi tuwe na utarii endelevu

[emoji117]Ninge pumguza mishara ya wabunge na mawaziri Inge kuwa inatambulika Kama vile mishahara ya Walimu na polisi inavyo tambuliwa na jamii yetu

kwani huu ni ufisadi pia Kisha pesa zingeelekezwa kwenye Mambo mengine ya msingi

Kama kilimo,uvuvi,nk

6)ili kuondoa upigaji wa matatizo ya asili Basi nige amuru familia yoyote isiyo na mtoto ikachukue mtoto kituo Cha watoto yatima na kumlea Kama mtoto wao
namtoto huyo
atakuwa niwakwao tangia watakapo kabidhiwa na serikali

7)Ninge toa amli kila nyumba ipande miti kufuatana na ukubwa wa nyumba au eneo linalo nilikuwa na nyumba hiyo kitaaramu

[emoji117] lengo likiwa niku kabiliana na mabadiliko ya Tania ya inchi

[emoji117]Pia ningeamuru wale wote walio Jenga kwenye vyanzo vya maji wasi bomoe Bali wapande miti mingi kwa usima mizi wa serikari za mitaa

[emoji117]Pia vyanzo vyote vya maji vitafutwe na miti ipandwe juu yake ili kuhifadhi maji

8)Ninge piga marufuku ushoga,ndoa zajinsia moja, madawa ya kulevya,na ndoa za chini ya umli wa miaka 25

9)Ninge samehe wote walio fungwa vifungo vya Maisha na wale wenye kesi za kubaka kwani naamini itakuwa nivigumu kurudia Tena kufanya hivyo kwa onyo Kali Kama ifwatavyo[emoji116][emoji116]

[emoji117]aliye baka akibaka Tena ahasiwe

[emoji117]Aliye fungwa Maisha akirudia Tena kufanya uharifu apigwe risasi

10)ningeanzisha mahakama ya mafisadi
iwapo wata bainika na kuthibitishwa na mahakama Basi chakwanza Mali zao zote Zina taifishwa chapili viboko miambili hadharani Cha tatu nikunyongwa hakuna kwenda jera

11)kesi zifwatazo zinge ishia polisi Kama vile[emoji116][emoji116]

[emoji117]Uzurulaji viboko 60 push up 100
[emoji117]Uizi wakuku faini 50000/ na viboko huna utakaa kituoni mpaka uozee [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ningekuwa Raisi ningeifutilia mbali Katuba na ningewaalika Machifu na Wazee wa Makabila Nchi nzima wanisimike na kunitawaza kuwa Mfalme wa Kwanza wa Tanzania ningefanya sherehe kubwa sana na Tembo mia tatu wangechinjwa halafu sytem ya himaya yangu inakuwa Absolute monarchy Raia ningekuwa nawaingizia fedha kwenye akaunti zenu. KIng Imhotep wa kwanza.
 
Afrika bila kuongozwa kwa mkono wa chuma hakuna

Mimi nikiwa raisi wa nchi
Ninaweza kuomba mbuge lipitishe sheria ya kunyonga mafisadi wa nchi
Wezi, matapeli, majambazi,
Sheria ya viboko kwa mfanyakazi yeyote atakaye chelewa kazini au kufika nyuma kazini bila sababu yeyote viboko kwa mfanya kazi yeyote mzembe au mvivu

Ninaweza kuongeza mishahara ya wafanya kazi na kubana matumizi makubwa ya pesa kwa vitu ambavu sio vya msingi
Kipaumbele changu ni maendeleo ya vitu maana na amini maendeleo ya watu uletwa na maendeleo ya vitu

Na warudisha kwenye enzi za ukoloni uko
We must to work hard Ili nchi zetu tusonge mbele
Tusitamani kula vizuri na wakati tunapo lala ni pabaya



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafanya kazi wapi kwa sasa ndugu?

Nataka nizungumze na mwajiri wako, utandikwe viboko kwa kosa lolote. Na mimi ndiye mtandika viboko.

Nakuhakikishia, siku moja tu utaomba uondoe hiyo sheria

Too bad, kwa mawazo haya hutokaa uwe Rais hata wa kitaa.
 
Unaongelea uanachama, hivyo nahisi Katiba unayoongelea ni ya chama. Huna tofauti na ccm.
 
Mimi ningekuwa rais kitu cha kwanza ningekupeleka shule ili ujue kuandika na kutofautisha matumizi ya herufi ndogo na kubwa
 
Bro, una mwandiko mbaya.
 
Ninaweza kuwekeza kwanza nguvu zangu kwenye haya mambo matano
First: Road ninaweza kuhakikisha nchi nzima nimetengeneza barabara za lami
Secord: Umeme nchi zima
Maji ninaweza kuhakikisha wananchi wanapata maji ya kutosha
Usafiri: usafiri wakutosha nchini
Afya: huduma za afya za kutosha nchini

Nina amini haya mambo matano yakiwa vizuri nchini.

Uchumi wa nchi utapanda na yataaza mambo mengine mengi nchini
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utatumia muda gani kukamilisha hizo ndoto bwashee 😁
 
Sasa uandishi tu unakushinda, uraisi utauweza kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…