Nikitembea asubuhi nawashwa miguu na mapaja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikitembea asubuhi nawashwa miguu na mapaja

Discussion in 'JF Doctor' started by usofu, May 25, 2011.

 1. usofu

  usofu Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Habari zenu wana JF, nina tatizo linalonikabili nikitembea asubuhi nawashwa sana miguu na mapaja.Hii inasababishwa na nini?
   
 2. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwakuwa umetoka kulala na kulikuwa hamna mzunguko mkubwa wa damu mwili unajaribu kuikabili hali hii mpya ya damu kuzunguka haraka na misuli pia.
   
 3. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  pole sana, RIWA atakuja muda si mrefu akupe ushauri nasaha.
   
 4. usofu

  usofu Member

  #4
  May 25, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Thanks wadau,now nimepata mwanga
   
 5. N

  Nsagali Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante
   
 6. U

  UNIQUE Senior Member

  #6
  May 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama mwenzangu alivyosema damua yako na body fluids havitembei vizuri kwa hiyo jitahidi utumie maji hai yaani bio water yanayotengenezwa kwa bio disc inayopatikana www.qnet.net. niandikie private maill ama nipe nambayako ya simu.
  UNIQUE
   
Loading...