Nikitangaza kurudi CCM

Speech inaboa, "niseme kwa kifupi", "nieleze dakika tatu" "mandela alisema" "nyerere alisema" kuzunguka kwingi sana main point hakuna.

Ushauri tu, usiwe unatoa speech kichwani, uwe unakaa unaiandika, alafu unajitahidi kuifupisha angalau 70% uguse main point, hakuna mtu anapenda kusikia story zako zisizo na mashiko wala relation yoyote.

Politicians labda hamjajua kitu kimoja, watanzania sasa hivi sio wajinga wa kuchukua maneno juujuu tu, watu wameanza kuelimika, its a new generation sasa, either go with it au utasahaulika mapema sana
 
Hapa alijua Lowasa atakuwa rais, hivyo kwenye zile nafasi 10 angekuwemo na uwaziri atapata. Akikosa sana ukuu wa mkoa. Hesabu zake zilikosea.
 
Amewajali kwa namna gani?
 
Hapa alijua Lowasa atakuwa rais, hivyo kwenye zile nafasi 10 angekuwemo na uwaziri atapata. Akikosa sana ukuu wa mkoa. Hesabu zake zilikosea.
Kwa hesabu zile wanatakiwa watu kama Lau Masha, ana miradi yake angalu maisha yanakwenda, hafikia kulama matapishi yake.
 
Nabii Isa na Yesu ni watu wawili tofauti... Usilete siasa kwenye imani za watu
 
Pole sana fred mpendazoe ndugu yangu na ni jambo jema kurudi ccm,
Ila ni vizuli kipindi hiki ukiachana na siasa maana nilianza kukujua ukiwa
Chadema na ukagombea ubunge,

1.Jimbo la Segerea mwaka 2010 lakini haukufanikiwa kushinda ubunge kutokana na mpinzani wako makongoro mahanga kupitia ccm alikuzidi mbinu za ushindi licha ya mahanga kukutwa na tuhuma za sanduku la kura lakini alishinda kwa kishindo.

Nakumbuka licha ya wewe kufungua kesi jimbo la segerea haukufanikiwa kushinda.

2.Mwaka 2015 uliamua kurudi kishapu ukagombee ubunge kupitia chadema lakini hali haikuwa

Sio nzuli kutokana na wana chadema kukutaa kukupitisha lakini mbowe alibadili gia angani na

Kukupitisha kuwa mgombea mbunge nakumbuka taharuki hii ilisababisha ofisi za chama kuchomwa moto na viongozi kujiuluzulu kutokana uamuzi ambao haukupendezwa na hii inatokana kura ya maoni ulipata kura 17, mpinzani wako alipipata kura 113 lakini ulipitishwa wewe kugombeaa.

Licha ya kugombea haukufanikiwa kushinda hivo achana na siasa ndugu
 

Kumbe na yeye pia ni mkufunzi wa "gea za angani za Mbowe".
 
Elimu ya Mpendazoe ikoje?
 
Karibu sana naona umekuja humu ili utafute kacheo fulani kwa magu kama walivyofanya makonda na ali hapi ambao wana akaunti zao humu zenye Majina ya kimagumashi. Jitahidi sana na ukizingatia magu anaabudu ukanda unaweza kufanikiwa. Ila kumbuka tunakuheshimu sana na ukileta zako za kujitoa ufahamu tutakuchanua hatutajali umri wako. Umeelewa baba
 
Nampenda kwa kuwa ana nia njema na watanzania.Lakini he is not perfect.He still can do better.There are many areas of improvement.
 
Jamaa Ana guts kweli kweli! 😀😀😀
 
Labda amepost akaondoka. Ngoja tumuite mzee Fred Mpendazoe hapa
 
 
Kila hatua ya maisha huhitaji hongera. Hongera mkuu. Ila sasa pumzika siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…