Fred Mpendazoe
Member
- Aug 21, 2016
- 33
- 504
Mpendazoe Akitangaza Kurejea CCM:
Mpendazoe Akitangaza Kurejea CCM:
Fred utaiweza JF? Humu ndani kuna watu wa kila aina na ukiwa hnaleta andiko lako hapa jiandae kwa majibu ya kila aina.. Karibu sana JF. Where we dare to talk
Openly..
Pamoja sana kiongozi.
Ni hivi: Wengi wameshamjulia Magufuli ni mtu anayependa kusifiwa na kupiganiwa kwenye mtandao. Kwa hiyo hii ni mbinu ya ''kuvutia'' cheo.Mpenda dezo ni mnafiki kiwango cha lami
Mpendazoe Akitangaza Kurejea CCM:
Mpendazoe Akitangaza Kurejea CCM:
Mpendazoe Akitangaza Kurejea CCM: