Nikitaka kujiregister instagram naambiwa too many users register using ur device.

Nikitaka kujiregister instagram naambiwa too many users register using ur device.

Instagram wanatoa limit kwa device moja ku register idadi fulani ya akaunti. Kama simu yako umenunua kwa mtu basi jua ilishafikia hicho kiwango (kikomo).

Kama unataka kufungua tafuta simu nyingine hata ya mtu azima (register) ukishamaliza rudi kwenye simu yako na uingize details zako (log in)

#GoodToGo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hebu chunguza hiyo simu isije kuwa uliinunua ya wizi. duniani kuna watu hawamwogopi mungu wanauza simu fafa dukani kabisaaaaa
 
Instagram wanatoa limit kwa device moja ku register idadi fulani ya akaunti. Kama simu yako umenunua kwa mtu basi jua ilishafikia hicho kiwango (kikomo).

Kama unataka kufungua tafuta simu nyingine hata ya mtu azima (register) ukishamaliza rudi kwenye simu yako na uingize details zako (log in)

#GoodToGo

Thanks nimefankiwa mkuu.....have a gd9t
 
Unamshauri atumie Jamii Photos.

May be it's your opinion !

Ila binafsi apps/sites zakuanza kuwa follow follow watu naonaga zakimbea mbea flani hivi !

Na huwa na shangaa kumwona kidume anatumia instagram !

Huu ni mtizamo wangu mimi snipa !

:closed_2:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom