Nikita

Am happy nami nimeenda sambamba na hiyo series kwan nimefanikiwa kuona czon 2 yote mpaka epsode ya 23,4sure km mtu hujaona hili picha na kufaidi uhondo na visa mikasa ya mle hujaenjoy raha za hii dunia bado!
 
...hii ngoja niicgie chimbo nishushe mzigo kitu..1080...mkv..fasta...hivi nani anayo The Event..seson 2@M'Jr
 
Hivi hii ndo Yule mwandishi maarufu wa riwaya kwenye Magazeti aliwahi toa simulizi zake? Kuna story flani nliwahi kuisoma, inaitwa NIKITA kwenye magazeti ya Ijumaa. Anyways wacha niisake, nliiona kwa kava la juu, nkaizimikia, now I can feel utamu wake hata kabla sijaiona
 
...hii ngoja niicgie chimbo nishushe mzigo kitu..1080...mkv..fasta...hivi nani anayo The Event..seson 2@M'Jr
mtu chake
The Event season 2 haijatoka bado maana nimeitafuta sana lakini haipatikani
 
Last edited by a moderator:
mtu chake
The Event season 2 haijatoka bado maana nimeitafuta sana lakini haipatikani
..kuna mtu aliniambia kuwa ilizuiliwa..sasa cjui kweli..au vipi..Strike Back vipi seson 3..nasikia inakuja soon. M'Jr
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…