Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Hivi inatokeaga kwanini?Kuendesha bila kufika ni condition flani ya kiboya sana.Yaan inaumizaaaa maneno hayatoshi.acha tu
Na bado erection inakuwepo ama Mnara unalala?
Hivi inatokeaga kwanini?Kuendesha bila kufika ni condition flani ya kiboya sana.Yaan inaumizaaaa maneno hayatoshi.acha tu
mnara umesmama kama kawa ila hufikiHivi inatokeaga kwanini?
Na bado erection inakuwepo ama Mnara unalala?
Why?mnara umesmama kama kawa ila hufiki
Duh! tatizo lako sio la nchi hii aisee!Sijui nini tatizo nikishiba tu chakula vizuri shibe yote inaenda kwenye mnara unasoma 5G kuanzia saa mbili usiku hadi nitapolala usingizi kidogo afadhali!
Papuchi napiga mara 4 kwa wiki lakini haisaidii chochote yaani natamani iwe mara 7 kwa wiki lkn kuowa sitaki kabisa kusikia huo utopolo!
Bado nipo kwenye tafiti nini hasa kimenikumba maana mwanzo haikuwa hivi!nitakuja filisika kisa papuchi
Nakuona kwenye tym zako 🤣 🤣 🤣Why?
Mida ya popoNakuona kwenye tym zako 🤣 🤣 🤣
Leo chukua likizo kidogo bhanaMida ya popo
Bado kidogo but soon nitaenda ku mbonji.Leo chukua likizo kidogo bhana
Na naona mida yako imefika tayari, au leo hujaset alarm?Bado kidogo but soon nitaenda ku mbonji.
Siwekagi alarm. Nipo vizuri.😉Na naona mida yako imefika tayari, au leo hujaset alarm?
Kwani nawe ukishiba huwa unakuwa hivyo? 🤣 🤣 🤣 🤣Siwekagi alarm. Nipo vizuri.😉
Labda kwa vile sijashiba.
Si unaona madhara ya kushiba?
Aku. Huyu atakuwa anakula kwenye slope mfano kwa shemeji yake.Kwani nawe ukishiba huwa unakuwa hivyo? 🤣 🤣 🤣 🤣
🤣 🤣 🤣 🤣 kwamba wew huwa hushibi?Aku. Huyu atakuwa anakula kwenye slope mfano kwa shemeji yake.
🙄🙄🙄🙄🙄 Huku ni kushiba kiboya. Lol🤣 🤣 🤣 🤣 kwamba wew huwa hushibi?
🤣 🤣 🤣 Umenifanya nicheke sana Karucee Kwan kushiba na kuwa kama yeye kuna ubaya gani?🙄🙄🙄🙄🙄 Huku ni kushiba kiboya. Lol
Sijawahi jua hata dada angu.Yaani unashangaa tu 'kitu hakitokei".Na erection inaendelea kuwepo kwa muda wa kutosha tu,hadi uanze kujipa shughuli za hapa na pale au movie nzito nzito.Sijawahi jua sababu but every now n then huwa kinatokeaHivi inatokeaga kwanini?
Na bado erection inakuwepo ama Mnara unalala?
Mkuu ,tuheshimiane YANGA haiusiki kabisa na tabia za mleta mada[emoji856]Hizo ni tabia za mashabiki wa Yanga na CCM
Unakua hauwazi unachofanya au unakua umepatwa na niniKuendesha bila kufika ni condition flani ya kiboya sana.Yaan inaumizaaaa maneno hayatoshi.acha tu
UsileSijui nini tatizo nikishiba tu chakula vizuri shibe yote inaenda kwenye mnara unasoma 5G kuanzia saa mbili usiku hadi nitapolala usingizi kidogo afadhali!
Papuchi napiga mara 4 kwa wiki lakini haisaidii chochote yaani natamani iwe mara 7 kwa wiki lkn kuowa sitaki kabisa kusikia huo utopolo!
Bado nipo kwenye tafiti nini hasa kimenikumba maana mwanzo haikuwa hivi!nitakuja filisika kisa papuchi
Unaweza kuwa involved kabisa ila sijui ganzi inakotokea aisee.Sio mara mara kwa mara ila mimi imenitokea mara kadhaa sasa maishani.sababu kama siwazi ninachofanya net si inatakiwa kukata? sasa haikati ila safari ndio haiishiUnakua hauwazi unachofanya au unakua umepatwa na nini