Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Sijui nini tatizo, nikishiba tu chakula vizuri shibe yote inaenda kwenye mnara unasoma 5G kuanzia saa mbili usiku hadi nitapolala usingizi kidogo afadhali.
Papuchi napiga mara 4 kwa wiki lakini haisaidii chochote yaani natamani iwe mara 7 kwa wiki lkn kuowa sitaki kabisa kusikia huo utopolo. Bado nipo kwenye tafiti nini hasa kimenikumba maana mwanzo haikuwa hivi.
Nitakuja filisika kisa papuchi