Ipananga kulwa
JF-Expert Member
- Jul 24, 2017
- 573
- 294
ndo iko hivyo baba tunapenda tusipopendwa. kwan we wataka sifa gani? au unaangalia chura baba?Habari waungwana ,,,natumai muu wazima
Bila kupoteza Muda Kama mada inavyojieleza hapo juu ni kwamba nimekuwa na tabia ya kuumia saana hasa inapofika suala la mapenzi ,,mimi Bado cjaoa na katika kutafuta mchumba nakua na sifa zangu ninazozihitaki, Sasa nikianzisha mahusiano na mtu mwenye sifa ninazozihitaji mahusiano yetu huwa hayadumu na kuishia kuumia tu.
Kwa upande wa Pili kuna wadada wanaonipenda saana na mpaka wanamua kuniambia tuoaene Ila hawana sifa ninazozihitaji Kama nilivyoeleza hapo juu
Hili tatizo hasa ni nn? Kwa nn nisipate anaenipenda na mm kumpenda ? Kwa nn huwa inatokea hivi?
Ahsanteni na karibuni kwa usahuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umetisha lakini unaidhulum nafsiMimi sipendi wala sipendwi..,
Ahsanten mods kwa marekebisho ya kichwa Cha madaNdivyo ilivyo mkuu....yaan hiyo ni formula ya mapenzi kama ilivyo 2+2=4
Ndo huwa najiulza nmekosea wap?Pole sana. Jitathimini upya
Hapana mkuu mm chura hata sio sifa zangundo iko hivyo baba tunapenda tusipopendwa. kwan we wataka sifa gani? au unaangalia chura baba?
Yaan nmeshafanya hayo mamba mwishon kabisa matarajio yanatoweka,,Hapo inatakiwa wewe ndio uanze kumpenda mwanamke na ukishampenda uwe na mbinu za kufanya yule uliyempenda naye akupende sababu sisi wanawake tukishapendwa na kuonyeshwa yale mapenzi ni rahisi sana na sisi kupenda tena saa nyingine tunapenda mpaka tunavuka kiwango yaani hatuoni wala kusikia.
Pia pole sana kwa kukikosa hicho kitu sababu kupendwa unapopenda ni raha sana.