habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
vipi huyu anafaa???
alafu unaambiwa anajua mapenzi balaa,utafurahi mwenyewe watanga na wahaya wakasomeMndengeleko lol, umeifurahisha sana kwa umenichagulia sinabudi kushukuru
Bandugu natumai hamujambo hapo mulipo, na poleni na kazi za ujenzi wa Taifa, binafsi niko wa afya tele, Mwenzenu nina katatizo na pengine ni tatizo kubwa na linahitaji tiba, kimsingi NAPENDA MWANAUME MWEUSI tena ule weusi wa kuteleza yaani huwa nachanganyikiwa lkn bado sijabahatika kumpata, ila sijakata tamaa nawomba Mungu ipo siku atanipa.!!!
kitu pure black hicho hata baby care inaonyesha kwake ni vocabulary sikwambii lotion.Mndengereko umenichekeshaje LOL.....
Hautaki 0.5?
kwa hyo unatafuta ama? Nikuibie siri.This dude here is dark-skinned too.Basi zama kwny PM.