Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,899
Watu bwana mkipendwa shida msipopendwa shida wenzio tunatafuta hao wa kutunyoa hawapatikani we unaona unalogwa hiyo ndo kazi ya mwanamke anayejitambua asipokunyoa yeye anajua utanyolewa kwingine,na raha yake akuweke smart acha ushamba wewe,na kufua nguo zako za ndani wala si kazi yako ni yake we tafuta seti ukibadilisha weka pembeni akija atafua muda wa kujifulia ulishapita una mtu wa kukutunza.
we ni mchagga!??
Unalogwa meku.......
Yaan sielewi kama ni mapenzi au ni nini yaani wife akikuta nimenyoa sirini au nimeoga nikafua pichu hua ananimandi sana anataka yote afanye yeye hivi yupo sawa au ni mambo ya kishirikina?
Wanaume wanapungua kwa kasi Sana.
Yaan sielewi kama ni mapenzi au ni nini yaani wife akikuta nimenyoa sirini au nimeoga nikafua pichu hua ananimandi sana anataka yote afanye yeye hivi yupo sawa au ni mambo ya kishirikina?
Wanasema mapenzi ni uchizi ila huu ni zaidi ya 'UCHIZI ULIOKUBUHU'Acha ushamba ushafika tanga wewee watu wanatawazwaa