Nikimwambia tuachane anakata simu

Kitu cha kwanza unachotakiwa kuelewa ni kuwa huyo alikuwa siyo mwanachuo na wala hajawahi kusoma chuoni. Huko alikokwambia anaenda kusoma, its aidha hakuwa anaenda kabisa au kuna marafiki wana chuo aliokuwa akiwafuata. Jiulize, uliwahi kuona daftari lake lolote? Uliwahi kuzungumza nae maswala yanayohusiana na masomo na mazungumzo yakaisha vizuri? Hana ujuzi wa kile alichokwambia kasomea au hana elimu kabisa na ndiyo sababu hataki kazi huku uhitaji wa vitu ukiwa mkubwa,jambo linalojionyesha kupitia mizinga ya kipumbavu. Kusema kwao wana uwezo na hivyo hataki kazi ni kisingizio maana, kwenda kazini ni jambo la sifa hata kwa binti ambae ana wazazi wenye uwezo au mvivu tu.
La pili ni kuwa huyo anaweza kuwa anajiuza na wewe anakufanya kitega uchumi, swala la kuwa anaishi na wazazi wake inawezekana ikawa sio kweli na anaishi ghetto na wenzie au anaweza kuwa anaishi kwao ila anajitegemea au walishakata tamaa na yeye na hivyo ni kama ameachwa huru hivi. Na kutokukupeleka kwao inawezekana ni kwa sababu anaogopa utagundua mengi yaliyojificha.
Ukichunguza unaweza kukutana na haya:
Anaishi kwa dada yake ambae ameolewa na anajaribu kushindana nae au kapewa muda awe amepata pa kuhamia. Na mambo ya chuo n.k ni kudanganya ili aendane na maswala ya hapo nyumbani anakoishi.
 
umemaliza mkuu
 
Unatushusha hadhi wanaume. Yani kumwacha mwanamke mpaka ujadiliane naye tena! Au hujaamua kumwacha, bado unampenda! Akh, acha kuwasiliana naye, usipokee wala kujibu sms yake....kaa kimya. Simple.
Asante mkuu, ushauri wako nitaufanyia kazi
 
Boss, Asante kwa ushauri mzuri
 
mpotezee, mwache, mkaushie, hapo huna mke na matatizo
 
Mkuu hiyo unayomtafutia anakataa hebu nitafutie mimi mana nasugua tu gaga kitaa.
Kuna watu wanajua kuchezea bahati sana.
Watu wanasugua gaga miaka wanatafuta hata wakuwashika mkono yeye analeta nyodo.
Kama kwao hawana shida hizo hela anaomba omba za nini.
Wewe hapo unaibiwa stuka
 
Njoo inbox dear
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…