Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,587
- 28,749
Unaumri gani?Ndugu zangu Wana Jf, nisaidieni kuvunja haya mahusiano.
Nimekuwa katika mahusiano ya uchumba kwa takriban miezi 3 lakini niliyokutana nayo ni siri yangu. Kwa ufupi dem ana sifa zifuatazo:
1:Ukimpigia cm mtaongea vizuri ila mwishoni lazima aombe hela ya saluni/viatu /nguo. Cha kushangaza sijawahi kuona hata nywele zake maana Muda wote ni leso kichwani.
2:Amemaliza chuo yupo kwao, nilimshauri nimtafutie kazi afanye kwa Muda akaniambia kwao hawana sheeda.
3:Akipiga cm naongea na cmu nyingine ni kesi kubwa mno,,,!hadi ugomvi.
4:Kutukana kwake ni kawaida Sana. Wala haogopi.
Kwetu sijampeleka kwao sijaenda. Sasa nimeamua kuachana naye lakini ameshindikana. Kila nikianzisha mada ya kuachana anakata simu halaf nikituma sms hajibu. Baada ya siku mbili anarudi tena. Sasa nimechoka nisaidieni ndugu yenu.... Asante.
PointMkikua mtaachana
Ebu ngoja tuwavumilie kwa kipindi hiki cha mpito.Shule zikifungwa basi ni fujo mtindo mmoja, hata kusoma wamesahau,no wonder!!
Na wewe bwana miezi 3 unataka mpelekane home?Ndugu zangu Wana Jf, nisaidieni kuvunja haya mahusiano.
Nimekuwa katika mahusiano ya uchumba kwa takriban miezi 3 lakini niliyokutana nayo ni siri yangu. Kwa ufupi dem ana sifa zifuatazo:
1:Ukimpigia cm mtaongea vizuri ila mwishoni lazima aombe hela ya saluni/viatu /nguo. Cha kushangaza sijawahi kuona hata nywele zake maana Muda wote ni leso kichwani.
2:Amemaliza chuo yupo kwao, nilimshauri nimtafutie kazi afanye kwa Muda akaniambia kwao hawana sheeda.
3:Akipiga cm naongea na cmu nyingine ni kesi kubwa mno,,,!hadi ugomvi.
4:Kutukana kwake ni kawaida Sana. Wala haogopi.
Kwetu sijampeleka kwao sijaenda. Sasa nimeamua kuachana naye lakini ameshindikana. Kila nikianzisha mada ya kuachana anakata simu halaf nikituma sms hajibu. Baada ya siku mbili anarudi tena. Sasa nimechoka nisaidieni ndugu yenu.... Asante.
ha ha ha ha aaaaaa humu ndani raha sanaNitumie namba yake niongee nae. Haiwezekani akusumbue kiasi hicho. Hembu nishurie hiyo namba nimuweke sawa. Hana adabu kabisa huyo.
Dah
Mkuu hivi ukitaka kuachana na mwanamke ni mpaka ukae muanzishe mada ndipo mnaachana??
Kuachana hakunaga protocol mkuu, we piga chini achana na mambo ya kuanzisha mada za kuachana.
Mkuu nakukubali sana kwa jinsi unavyojua kuwakanya wanaosumbusumbua kama binti yule, sasa jamaa akurushie no hatojutiaNitumie namba yake niongee nae. Haiwezekani akusumbue kiasi hicho. Hembu nishurie hiyo namba nimuweke sawa. Hana adabu kabisa huyo.
Mkuu huyo mdada ni wa mkoa gan kunaishu ntakuambiaMkuu Sijashindwa ila huyu mwanamke ni king'ang'anizi.