Hizi sim za kufuta zilipo shuka bei, wavulana na wasichana wamezidi kutulete mambo za kipuuzi sana aiseee.....Ngoja mkue kwanza.
Mkikua mtaachana
Shule zikifungwa basi ni fujo mtindo mmoja, hata kusoma wamesahau,no wonder!!Hizi sim za kufuta zilipo shuka bei, wavulana na wasichana wamezidi kutulete mambo za kipuuzi sana aiseee.....
Mkuu huyo unamuendekeza vibaya kwanza kama kwao hawana shida kwa nn anakuomba ww hela?, pili kama shida yake ni hela kwa nn hataki umtafutie kazi ili ajitegemee asiumbe hela kama za saloon?, tatu huyo mtoto hajielewi na anainekana mpenda ganda la ndiz tu SO kama kweli una nia ya dhati ya kumuacha mtumie sms kumjulisha hayo then black no yake hata akipiga kwa no tofauti ukipokea ukijua yeye kata cm na usijibu SMS zake. Ukifanya hivyo ndan ya week1 kama anajielewa atajua hapa bac tena ataacha kukusumbuaNdugu zangu Wana Jf, nisaidieni kuvunja haya mahusiano.
Nimekuwa katika mahusiano ya uchumba kwa takriban miezi 3 lakini niliyokutana nayo ni siri yangu. Kwa ufupi dem ana sifa zifuatazo:
1:Ukimpigia cm mtaongea vizuri ila mwishoni lazima aombe hela ya saluni/viatu /nguo. Cha kushangaza sijawahi kuona hata nywele zake maana Muda wote ni leso kichwani.
2:Amemaliza chuo yupo kwao, nilimshauri nimtafutie kazi afanye kwa Muda akaniambia kwao hawana sheeda.
3:Akipiga cm naongea na cmu nyingine ni kesi kubwa mno,,,!hadi ugomvi.
4:Kutukana kwake ni kawaida Sana. Wala haogopi.
Kwetu sijampeleka kwao sijaenda. Sasa nimeamua kuachana naye lakini ameshindikana. Kila nikianzisha mada ya kuachana anakata simu halaf nikituma sms hajibu. Baada ya siku mbili anarudi tena. Sasa nimechoka nisaidieni ndugu yenu.... Asante.
Hapo mwisho umeongea kitu relevant kabsa.kuishi na viumbe wanawake inataka akili ya ziada na si ya darasani, yani hapo usikute anataka kitu kidogo tuu sema mtazungusha sana, anyway mmembelezee
* then Mara nyingi sana wanawake bikra ndo wanakuaga hivyoo*