Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,685
Usimle mke ya mangi utang'ang'ania bure yan mtang'ang'aniana kama sumakuhilo ndilo la msingi mkuu!vigezo na masharti lazma vizingatiwe,maisha haya usitengeneze maadui bali ongeza marafiki!
Sijui habari yako ina ukweli kiasi gani lakini umenikumbusha kuhusu kisa kimoja cha kweli. Kulikuwa na mama mmoja ameolewa. Alikuwa bado ni kijana hivi, na mume wake alikuwa mtu wa makamo. Basi yule mama akamfuata jamaa yangu mmoja akamwambia mzee anamgusagusa tu hivyo afanye kweli. Jamaa ajitosa mzima mzima yakaanza mapenzi moto moto. Akapewa na umeneja wa duka la yule mama. Baada ya kitu kama mwaka mama wa watu akaugua hoi. Mwezi haujaisha akafariki. Wakati wa mazishi ndiyo tukapata undani wa mambo. Kumbe mumewe alikuwa amesusa kulala naye kwa sababu alishapata taarifa kuwa anatembea na jamaa mmoja mwenye mawaya. Mshike mshike jamaa yangu naye akanza kuumwa. Mpaka kesho ni mtu wa dawa za kurefusha maisha.demu ni kisu balaa,mimi nikadhani labda jamaa kitu haipandi mlima nini,yani yule mtoto hujiulizi mara mbilimbili
kwakweli umewaza vile ambavyo mwanaume anatakiwa kuwaza ""Mwambie akupe siri za mafanikio ya kibiashara za mumewe ili nawe upate jambo la maana badala ya kuwaza ngono tu tena na mke wa mtu.