Nikimaliza kusoma laboratory technology naweza soma medicine

Sheko

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
280
Reaction score
26
wakuu naomba mnijuze hivi nikimaliza diploma ya labaratory tech nikiwa nimefaulu vizuri naweza soma shahada ya medicine?
 
ukifaulu vzuri kasome digrii ya maabara kwan lazima uwe daktari,na waliosoma CO na AMO wasome nini.?we endelea kupga microscope hadi level za phd.
 
Kwa hiyo siwezi soma medicine mkuu
 
MAABARA IPI? science laboratory technology au Medical laboratory Technology?
 
Sio Microscope tu, kuna zaidi ya hapo. Vitu kama x-rays, NMR, Utra-sounds,CT-Scan. and other sophisticated lab works. Kama mimi ningekuwa ndio wewe ningekuwa endelea na Lab tech hadi Degree kwa kuspecialize kwenye RADIOLOGY. Kwani Kwa Bongo hatuna Radiologist wazuri zaidi ya Mcuba mmoja zamani alikuwa pale Tumaini Hospital na Kaka yangu mmoja akiitwa Dr Bashiru, japo huyu sio Radiologist wa kusomea
 
Kwani hii ni kwa aliyesomea science and laboratory technology au medical laboratory techology?
 
wakuu naomba mnijuze hivi nikimaliza diploma ya labaratory tech nikiwa nimefaulu vizuri naweza soma shahada ya medicine?
Nani kakuongopea hata utoke na GPA ya 4.99999 huwezi soma MD,Ili uweze soma MD kutokea ngazi ya chini ni lazima uwe umesoma Clinical Officer(CO),Dentist or Asistant Medical Officer(AMO)
 
Asanteni juu ya hiyo mada ingawaje mimi sina ujuzi ila nachotakakuuliza ni juu ya kaka yangu spleen atuhakikishie ni lini wizara itatoa majina walioaply afya maana tunayasubiri kwa hamu sana
 
Nani kakuongopea hata utoke na GPA ya 4.99999 huwezi soma MD,Ili uweze soma MD kutokea ngazi ya chini ni lazima uwe umesoma Clinical Officer(CO),Dentist or Asistant Medical Officer(AMO)

form 6 div2.12 pcb +Degree of medical laboratory,hawezi kuwa admitted kwa md?
 
Ss hivi application zinabana..ukiingia central admission system unaletewa option ya kozi uliyosoma tu..km ulisoma maabara basi vinakuja vyuo venye maabara na unalazimika uchague maabara..so haiji option ya kozi zingine.naona wamefanya hivi ili kuepuka wanao divert profession...yn acha tuuuu
 
Nani kakuongopea hata utoke na GPA ya 4.99999 huwezi soma MD,Ili uweze soma MD kutokea ngazi ya chini ni lazima uwe umesoma Clinical Officer(CO),Dentist or Asistant Medical Officer(AMO)
Nimekusoma mkuu
 
Naomba kuuliza mtu aliyesoma science and laboratory technology anaweza fanya kazi TFDI au TBS..?
 
Wakuu naomba kuuliza MTU aliesoma diploma ya laboratory technology anaweza kusoma degree ya anaesthesia?
 
Back
Top Bottom