afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,259
- 2,688
hakikaUjue shetani anakutafuta ili uupate ukimwi ufie mikononi mwake. Lakini tambua MUNGU ANAKUPENDA NI VEMA UKAMPA YESU MAISHA YAKO
hakikaUjue shetani anakutafuta ili uupate ukimwi ufie mikononi mwake. Lakini tambua MUNGU ANAKUPENDA NI VEMA UKAMPA YESU MAISHA YAKO
We una nyota ya ukimwi sio bureGuys, habari zenu,
Mi sijui tuseme ni tatizo au ni nini, nikikutana na mwanamke kimapenzi, nikijaribu kuvaa condom, mashine haisimami kabisa ila nipige peku, nachochea haswa. Mnisaidie, kwani sometimes napataga zile game za show time zisizo na point, ni lazima nivae jezi.
Hata wake zetu si waaminifu kama unavyofikiri. Wengi wakeukwaa Ukimwi toka kwa wake zao. Njia ya kufanya ni kuvaa hata kwa mkeoTatizo hilo inasemekana wanalo watu wengi na hasa marudio ya pili. Ushauri wangu oa achana na uzinzi