Nikikutana na mwanamke nikijaribu kuvaa condom, uume hausimami

Ujue shetani anakutafuta ili uupate ukimwi ufie mikononi mwake. Lakini tambua MUNGU ANAKUPENDA NI VEMA UKAMPA YESU MAISHA YAKO
Acha kumsingizia shetani wala Mungu, haya ni ya kibinadamu, mpaka hatua hii anafahamu 'mema na mabaya', muache afanye maamuzi!
 
guys, habari zenu, mi sijui tuseme ni tatizo au ni nini..nikikutana na mwanamke kimapenzi, nikijaribu kuvaa condom.mashine haisimami kabisa ila nipige peku, nachochea haswa...mnisaidie, kwani sometimes napataga zile Game za show time zisizo na point, ni lazima nivae Jezi

Una tatizo la "uhanithi"
 
mbona lawama mnazipeleka kwa nyeto na hamsemi haya ma mipira yanabana kwenye ile kwenye ule upindo wa juu na ukimaliza show mashine inauma as if umeshalikanyaga gono.......
Basi una mashine kubwa sana, afu nunua size yako bwana wala haikuumizi.
 
mbona lawama mnazipeleka kwa nyeto na hamsemi haya ma mipira yanabana kwenye ile kwenye ule upindo wa juu na ukimaliza show mashine inauma as if umeshalikanyaga gono.......
Mi napigaga kavu kavu tu!
Au nakata lile pindo la juu linalobanaga kisha nafunga na kipande cha waya
 
Hilo swala lipo psychological zaidi. Jiamini anza kwa kujenga mentality ya itasimama kwa kondom pia.....

Alafu acha kutumia kondom kwa kuangalia mtu na mtu. Huwezi mpima mtu kwa kumuangalia usoni
 
Mkuu kuwa makini...isije ikawa una nyota ya magonjwa ya kuambukizwa kwa kujamiiana ikiwa ni pamoja na UKIMWI.

Tatizo lako ni la kisaikolojia tu....inaonekana haujiamini mkuu. Jiamini kila kitu kitakuwa sawa.
 
Back
Top Bottom