Nikikojoa mkojo hauishi moja kwa moja

Nikikojoa mkojo hauishi moja kwa moja

Tatizo kubwa hapo inaweza kuwa ni misuli husika kukosa nguvu kutosha kusukuma mkojo, yaani hilo ni la kwanza. Lingine linaweza kuwa maambukizi njia ya mkojo, la mwisho ni dalili za mwanzo za TEZI DUME.
Nakushauri tu usikae na mkojo hadi ukakubana sana kwa muda mrefu kibofu cha mkojo kinatanuka kinashindwa kurudia hali yake. kama puto linavyorudi ukitoa upepo ndo kibofu kinatakiwa kiwe. kuanzia miaka 40 ni dalili za kawaida na tunashauriwa kucheki tezi kuanzia miaka hiyo.
Sawa mkuu nimekuelewa nashukuru sana
 
Mkuu pole sana na hilo ttz..kuna tabibu mmoja iv wa tiba asilia na hasa ilo la mkojo..na ashatibia watu weng na si hilo.hadi ttzo la kukuojoa kutumia mpira kuna dawa ana kupatia ukitumia mambo safi..ngoja pakuche nikutafutie namba yke afu ntakuletea hapa uumtafute mwenyewe na anapatikana morogoro mjin..
Bro, unisaidie namm hyo namba
 
Jitoe kwenye CHAPUTA,pia ukamuone Dr.akupime tezidume.
 
Hiyo inaitwa residual urine yaani unamaliza kukojoa then unahisi kuna mkojo mwingine umebaki na ukistrain unatoka,kwanza inahashiria utu uzima kadri umri unavyoenda ndio pressure ya misuli ya tumbo na kibofu inavyopoteza nguvu zake jaribu kuangalia mtt au kijana anavyokojoa mkojo unaruka kwa pressure na mara nyingi hawachafui chupi na yale matone ya mwisho, Pili inaweza kuwa dalili za awali za kitu kinachoitwa Bladder Outflow Obstruction (BOO) either kwa ajili ya BPH au tezi Dume na magonjwa mengine yafananayo na Hilo,Pole sana na wahi hospital ukapime .
 
Dalili za tezi dume wahi kwa wajuzi huko hospitalini
 
Pole sana mkuu hiyo ni moja ya dalili za prostate carcinoma (Cancer) Jaribu kufika hospital kubwa kupata vipimo vya uhakika.Pia inaweza kuwa ni problem ya urethra (mrija wa kusafirisha mkojo kutoka kwenye bladder kuutoa nje)
 
Mkuu shida mkojo nikikojoa hauishi moja kwa moja kuna matone yatakuja baada ya kukunguta yanachafua nguo pia nikiingia bafu naweza kujoa nifikap hila baadae kidogo nikusukuma tena unatoka kama kikombe cha kahawa au nusu umri wangu 40 tatizo hili sasa mwaka 4 sijawai kutafta matibabu
Wewe ni Ke au Me,miaka minne yote hujawahi tibiwa Hospital,kipimo cha awali upimwe mkojo na UTS kuaangalia Figo zako,Ushauri mkuu tibiwa Hospital.
 
Kuna magonjwa mengi yanayosababisha mkojo kutomalizika(dribbling) Kwa wanaume,kwenye Figo(mawe kwenye figo) kwenye tezi ya kiume (prostate). maambukizi ya tezi(prostatitis).,saratani ya tezi(prostate cancer) kuvimba Kwa tezi(kibongo wanaita tezidume)ila nikwawatu walioenda age,Kama unaumri chini ya 50hadi20 itakuwa prostatitis nenda hospital utapewa antibiotics.vipimo ni damu na mkojo, omba Mungu isiwe prcancer mkuu.
 
Dalili mojawapo ya uvimbe wa tezi dume. Kapime hospitali kama tatizo ni hilo nicheki nikushauri virutubisho vya kutumia ili upone bila upasuaji. Kwa maelezo zaidi piga 0620321041 au 0673758230
 
Dalili mojawapo ya uvimbe wa tezi dume. Kapime hospitali kama tatizo ni hilo nicheki nikushauri virutubisho vya kutumia ili upone bila upasuaji. Kwa maelezo zaidi piga 0620321041 au 0673758230
Ina maana virutubisho vinatibu kila kitu? Maana kila ugonjwa wauza virutubisho Wana dawa
 
Inaweza kabisa kuwa ni Urethral structure. Hiyo haina dawa. Utatuzi wake ni kupasuliwa tu.
 
Back
Top Bottom