Nikikojoa mkojo hauishi moja kwa moja

Nikikojoa mkojo hauishi moja kwa moja

phanta

Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
59
Reaction score
15
Mkuu shida mkojo nikikojoa hauishi moja kwa moja kuna matone yatakuja baada ya kukunguta yanachafua nguo pia nikiingia bafu naweza kujoa nifikap hila baadae kidogo nikusukuma tena unatoka kama kikombe cha kahawa au nusu umri wangu 40 tatizo hili sasa mwaka 4 sijawai kutafta matibabu
 
Ni vzr uwaone Urologist mapema
 
Mkuu shida mkojo nikikojoa hauishi moja kwa moja kuna matone yatakuja baada ya kukunguta yanachafua nguo pia nikiingia bafu naweza kujoa nifikap hila baadae kidogo nikusukuma tena unatoka kama kikombe cha kahawa au nusu umri wangu 40 tatizo hili sasa mwaka 4 sijawai kutafta matibabu
Niliwahi kuambiwa kama unapata hamu ya kukojoa, ukienda unastrain mkojo unachelewa then unatoka after kuacha kustrain then ukimaliza unahc hujamaliza kukojoa na unapata terminal dribbling hizo ni dalili za prostate enlargement, inaweza kuwa benign prostate hyperplasia or prostate cancer ambayo yenyewe inaambatana na lower back pain depends na stage, urethra stricture ukistrain mkojo unatoka pia inakuwepo hyo terminal dribbling sometimes kunakuwa na blood in urine, ni vzr kuwaona wataalamu ili uangalie psa level na pia pia ufanye urethrogram plus KUB.
pole mkuu kwa hilo tatzo
 
Mkuu shida mkojo nikikojoa hauishi moja kwa moja kuna matone yatakuja baada ya kukunguta yanachafua nguo pia nikiingia bafu naweza kujoa nifikap hila baadae kidogo nikusukuma tena unatoka kama kikombe cha kahawa au nusu umri wangu 40 tatizo hili sasa mwaka 4 sijawai kutafta matibabu
Nenda hospital ukapimwe au ukaingiziwe dole la kati huko nyuma lazima utabainika una tezi dume.
 
Mkuu pole sana na hilo ttz..kuna tabibu mmoja iv wa tiba asilia na hasa ilo la mkojo..na ashatibia watu weng na si hilo.hadi ttzo la kukuojoa kutumia mpira kuna dawa ana kupatia ukitumia mambo safi..ngoja pakuche nikutafutie namba yke afu ntakuletea hapa uumtafute mwenyewe na anapatikana morogoro mjin..
 
Hamna mkuu.ili iweje sasa ngojea niipate kesho..nmpatie ajaribu kuwasiliana nae mwenyewe
 
Mkuu pole sana na hilo ttz..kuna tabibu mmoja iv wa tiba asilia na hasa ilo la mkojo..na ashatibia watu weng na si hilo.hadi ttzo la kukuojoa kutumia mpira kuna dawa ana kupatia ukitumia mambo safi..ngoja pakuche nikutafutie namba yke afu ntakuletea hapa uumtafute mwenyewe na anapatikana morogoro mjin..
Ok ila mkojo unatoka kama kawaida hauchelewi ila hata unapoona umeisha kuna mwingine uwa unabakia hata kama sio mwingi
 
Sawa ila nikiisi mkojo nikisukuma unatoka vizur bila maumivu ila unaweza kukunguta vizuri lakini kuna matone yatabakia ua kaa upo chooni unaweza kusukuma unatoka tena mkojo kidogo. sawa mkuu nitaenda hsptal mapema
 
Pole Sana mkuu!
Lakini Mkuu wasije wakawa wameshakushughulikia kimila! Katembee tembee mkuu!!!
 
Mkuu shida mkojo nikikojoa hauishi moja kwa moja kuna matone yatakuja baada ya kukunguta yanachafua nguo pia nikiingia bafu naweza kujoa nifikap hila baadae kidogo nikusukuma tena unatoka kama kikombe cha kahawa au nusu umri wangu 40 tatizo hili sasa mwaka 4 sijawai kutafta matibabu
Tatizo kubwa hapo inaweza kuwa ni misuli husika kukosa nguvu kutosha kusukuma mkojo, yaani hilo ni la kwanza. Lingine linaweza kuwa maambukizi njia ya mkojo, la mwisho ni dalili za mwanzo za TEZI DUME.
Nakushauri tu usikae na mkojo hadi ukakubana sana kwa muda mrefu kibofu cha mkojo kinatanuka kinashindwa kurudia hali yake. kama puto linavyorudi ukitoa upepo ndo kibofu kinatakiwa kiwe. kuanzia miaka 40 ni dalili za kawaida na tunashauriwa kucheki tezi kuanzia miaka hiyo.
 
Mkuu shida mkojo nikikojoa hauishi moja kwa moja kuna matone yatakuja baada ya kukunguta yanachafua nguo pia nikiingia bafu naweza kujoa nifikap hila baadae kidogo nikusukuma tena unatoka kama kikombe cha kahawa au nusu umri wangu 40 tatizo hili sasa mwaka 4 sijawai kutafta matibabu
Pole
 
Mzee acha ngono na wake za watu. Dusherere hilo litakatika unaliona!
 
Pole Sana mkuu!
Lakini Mkuu wasije wakawa wameshakushughulikia kimila! Katembee tembee mkuu!!!
Sio kuwa unakojoa tu hapana ukimaliza kukojoa kunabkia matone yanachafua nguo au kama unaoga unaweza kusukuma tena ukatoka mkojo ambao sio mwingi sana Wakati mwanzoni ulisukuma ukaisha
 
Back
Top Bottom