Nikikipata hiki nitatulia na kuoa

Sasa Mwenye bikra ndo ana nini kipya au unatamani na wewe uwafungulie njia wenzako

nataka wa kujifungulia njia mwenyewe niwe napitamo mpaka kufa hizi ambazo watu wamejipitia mpaka wakatupa kule alafu mimi naokota peremende za mtaroni hapana aisehhhhh
 
Mi ni nayo tena bado mpyaaaaa nimeitengeza j ana usiku tena nimeiunga na viungo mpka leo bado haijatumika njoo union kwi kwi
 

Unajua nimefika hapa baada ya kuenda kutambulishana na nilikuwa nampango mwakani nifunge ndoa hamadiiii... huyu niliyenaye akapitiwa na aliye mtoaga enzi hizooo aisehhhh nilivyojua tu kama mwezi niliumwa. sasa mimi naye basi bora mi niendelee tu na mwakani niendelee kumtafuta nikipata naoa kabisa
 
Yani mwanangu unakuja JF unaulizia habari za bikra, ukirudi nyumbani jiandae unifafanulie
 
embu nione kama ninayo narudi hapa fasta maana naofia baiskeri isiwe ilishafanya yake
 
Pata kwanza ndio waza kuoa
Zaid fanya kaz kwa bidiii kuongeza kipato

Achana na mapenzi
 
ratio kubwa ya bikra ipo kwa wale wanaomaliza form six na form four from boarding schools.ingawa nao weng wamebokolewa but kuna chance kubwa kuliko hawa wanaoish mtaan kutwa kuchwa.soo choose tht direction.
 
mkuu kwani we unabikra?
Mama Temba,wewe uliniambia ati ulikuwa unaendesha baiskeli kule Marangu,halafu kwenye mteremko ukaanguka na kiti cha baiskeli kikakuchoma kwenye nanihii,ulipozinduka ukapata maumivu makali kule,sasa naamini uliniuzia mbuzi kwenye gunia,kiruuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,babako atarudisha shamba la kahawa arawa,mbulaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Acha bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…