Kuna jambo la ajabu ambalo sijui ni Kwa nini inatokea hivi.
Kwamba ninapohitilafiana na mke wangu nikikasirika mara nyingi mvua inanyesha ni jambo ambalo limenitokea zaidi ya Mara tatu sijui nini maana yake wataalam msaada wenu Juu ya tukio hili.
mkuu yani nimecheka mpaka watu wana nishangaa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kulalake ayo majibu tu mi chaliiii
[emoji1]hahaha c mbaya umeongeza cku za kuishmkuu yani nimecheka mpaka watu wana nishangaa