Nikijikuna sehemu yoyote naumuka

Labile

Member
Dec 9, 2016
58
63
Inatokea mara kwa mara, nawasha sehemu yoyote ya mwili (ngozi) nikikuna nahumuka, then after few minutes km 30 na kuendelea panakuwa sawa. Binafsi nimekuwa nikihisi labda ni mzio.

Karibu.
 
Yaweza kuwa ni mzio. Umegusa/umekula kitu ambacho mwili wako haukubaliani nacho.

Au pengine ni eczema
 
Back
Top Bottom