Nikiingiza haiingii

Alexism

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
3,423
Reaction score
2,046
Nilianza mimi kuingiza ikakataa, basi nikamwambia mwenzangu anisaidie tuingize kwakusaidia pamoja kila mtu akiwa ameishika ikakataa kuingia.
Mwenzangu akasema tundu lake ni dogo haiwezi penya au kuingia kabisa.
Tundu hilo hilo ndo inaingilia kwenye nyingine lakini hii pin kubwa ya nokia imekataa kwenye samsung.
 
aiseeeeeeeeeeehhh haya baaana
 
aiseeeeeeeeeeehhh haya baaana
Pin ndogo ya Nokia unaipeleka kwenye Samsung haaaaaah! Unatekesha lakini ngoma lazima igome, na usipo angalia uking'ang'ania simu yako haitangiza charge kabisa au kiswahili kingine simu imelala doro.
 

Mkatiane, hiyo chaja maana yake haina kazi tena kisha mkapakuliwe huko nyuma na Juma Maana Amepika Pilau Tamu Sana.
 
Mngepakaa mafuta ingeingia kiulaiiiiniii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…