Nikifika hapa nachoka kabisa

zilinistaajabisha kweli,eti usipo tuma unapata mikosi. nakama nisingekuwa na simu je
 
sipend sms za kuforce kwa kwel! utasikia ni lazma la sivyo utapta mikosiiiii! wala hata huwa sijihangaishiii. ikitumwa 2 hapo hapo naidelete faster na cjawah pata kabisaaa hyo mikosii yao
 
Usingekuwa na simu haikuhusu. Ni kama kutoa zaka tu, kama huna hela huwajibiki 😛eep:

wapi huko ambako kama hauna hela zaka hulipi?
kwetu nilazima uwe nacho usiwe nacho niwajibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…