NIKIFANYA MAPENZI NA MPENZI WANGU NI KASI MPAKA Wote tunachubuka.

NOT FOUND

Senior Member
Mar 14, 2011
158
59
HABARI WAKUU. HUWA NAFANYA MAPENZI KAVU KAVU NA MPENZI WANGU (tumepima).

KINACHOTOKEA NI KWAMBA HUWA NAENDA UMBALI MREFU NA SPEED KUBWA MPAKA HUWA NAPATA MCHUBUKO SEHEMU YA PEMBENI YA SHINA LA MASHINE. NA HII INASABABISHWA NA KWAMBA WAKATI MWENZANGU ASHAFIKA MI NDO KWANZA NATAFUTA LA PILI (MARA ZOTE HUWA NAUNGANISHA LA KWANZA NA LA PILI KWA RAUND MOJA) YAANI WAKATI HUO UNAKUTA MWENZANGU ANAKUWA KESHAKAUKIWA MWISHOWE NA YEYE ANAANZA KUHISI MAUMIVU NA MIMI NAANZA KUPATA FRICTION YA HATARI.

WATAALAM NISHAURINI NISOLVE VIPI. NIFANYEJE ILI MAMAA AWE WET KWA MUDA MREFU MFULULIZO???
 
duh! namkubali sana jamaa wa ID na Avator yako,buck to topic usitumie nguvu sana mkuu,mapenzi ni sanaa tu c nguvu nyingi kaka
 
HABARI WAKUU. HUWA NAFANYA MAPENZI KAVU KAVU NA MPENZI WANGU (tumepima).

KINACHOTOKEA NI KWAMBA HUWA NAENDA UMBALI MREFU NA SPEED KUBWA MPAKA HUWA NAPATA MCHUBUKO SEHEMU YA PEMBENI YA SHINA LA MASHINE. NA HII INASABABISHWA NA KWAMBA WAKATI MWENZANGU ASHAFIKA MI NDO KWANZA NATAFUTA LA PILI (MARA ZOTE HUWA NAUNGANISHA LA KWANZA NA LA PILI KWA RAUND MOJA) YAANI WAKATI HUO UNAKUTA MWENZANGU ANAKUWA KESHAKAUKIWA MWISHOWE NA YEYE ANAANZA KUHISI MAUMIVU NA MIMI NAANZA KUPATA FRICTION YA HATARI.

WATAALAM NISHAURINI NISOLVE VIPI. NIFANYEJE ILI MAMAA AWE WET KWA MUDA MREFU MFULULIZO???

Hivi kwani ulipopima waliwambia sasa ruksa peku?acha wehu tumia helment.halafu kwanini uunganishe na kitu cha pili?tendo hilo ni starehe sio vita piga kistaarabu moja then shuka chini mwandae mwenzio kwa kipindi cha pili refa ni wewe mwenyewe hapo ooh!!
 
well said mkuu,asifanye ka vile analima shamba mkuu
 
Mnafanya mapenzi au mnapigana? Duh, unaunganisha magoli kama kuku?

Mapenzi ni skills na sio force. Paka grisi ukishindwa.
 
wenzako wanafanya kwa hatua,ukimaliza moja unashuka unamuandaa unaingia la pili,sasa wewe unataka uunganishe umekuwa nani upingane na nature??? mungu nisaidie mume atakayenifanya vizuri kuna majitu maselfish yanataka kulala humo humo..kha....
 
je unahakikisha ana maji mengi kabla ya kuanza/ na pia jua kuwa mwanamkea akisikia raha basi anazidi kutoa maji wakati wa kazi. Sasa kama hatoi maji ni mmmmhhhhh????? kama unampenda mwambie akuambie kama nae anafurahia wakati huo labda ndo maumivu hayo anakuwa anasali yaishe haraka.

labda ubadili mtindo wako na maji mengi yatatoka hadi mwisho na kuendelea.

unharakisha kwenda wapi? au mnaibiaga?

nenda kwenye mambo ya wakubwa upewe point nzuri zaidi kiundani
 
kuunganishwa inawezekana jamani ikipatiwa ni tamu sana pia. wawili wakiwa cloud 9.
 
HABARI WAKUU. HUWA NAFANYA MAPENZI KAVU KAVU NA MPENZI WANGU (tumepima).

KINACHOTOKEA NI KWAMBA HUWA NAENDA UMBALI MREFU NA SPEED KUBWA MPAKA HUWA NAPATA MCHUBUKO SEHEMU YA PEMBENI YA SHINA LA MASHINE. NA HII INASABABISHWA NA KWAMBA WAKATI MWENZANGU ASHAFIKA MI NDO KWANZA NATAFUTA LA PILI (MARA ZOTE HUWA NAUNGANISHA LA KWANZA NA LA PILI KWA RAUND MOJA) YAANI WAKATI HUO UNAKUTA MWENZANGU ANAKUWA KESHAKAUKIWA MWISHOWE NA YEYE ANAANZA KUHISI MAUMIVU NA MIMI NAANZA KUPATA FRICTION YA HATARI.

WATAALAM NISHAURINI NISOLVE VIPI. NIFANYEJE ILI MAMAA AWE WET KWA MUDA MREFU MFULULIZO???

sijaelewa vizuri.Ngoja nitafika hukohuko niwaone mnavyofanya
 
wenzako wanafanya kwa hatua,ukimaliza moja unashuka unamuandaa unaingia la pili,sasa wewe unataka uunganishe umekuwa nani upingane na nature??? mungu nisaidie mume atakayenifanya vizuri kuna majitu maselfish yanataka kulala humo humo..kha....

Neema hizo sifa zote ninazo na naamini kabisa tutakuwa wenzi bora nipe nafasi.
 
Back
Top Bottom