Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 481
afadhali uamuzi huo utawasaidia, maana siku hizi mnaweka nondo na zege juu, bila kusahau tiles !
Sisi mila yetu ni ya Nabii Ibrahim !
saudi arabia wana mashine ya kuchomea ndani ya dk 38 umekuwa majivu watuletee tukuchome mi sipendi sana kifo kizungumziwe sanaAta mimi ningependa nikifa Nichomwe Moto tu,majivu yapeperushwe juu ya mlima kilimanjaro.
Kibaya zaidi ni pale kanisa la kkkt lilipoungana na maagano hayo ya mungu wa kihindi wa mto ghandi. Kwa sababu maiti ya marehemu ilipelekwa ndani ya kanisa la kijiji cha Kotela na kusomewa ibaada ya mazishi na kuruhusu ikachomwe. Sijui ni vipengele gani wametumia katika biblia kuhalalisha hiyo ibaada ya uchomaji moto. Au labda ni kwa sababu jamaa alikuwa na uwezo? Maana kanisa la kilutheri linaabudu wenye uwezo wa kifedha. Ukitaka kuliburuza kanisa la kilutheri kadri uwezavyo wewe uwe na pesa tu hata kama zimepatikana kwa kuwachinja albino.
.
Ni kawaida yetu hata nyumba zetu za ibada ni tofauti na za wengine, nyumba zetu za kuishi nazo zina tiles, shule zetu na hata ndevu zetu tunanyoa na kuzitunza vizuri na sio kuziacha holela kama beberu la hitima.
Kwa kifupi ni kawaida yetu kuwa smart na sio kuvaa suruali njiwa.
Tukirudi kwenye suala la kuchoma moto maiti, itasaidia pia makaburi kutozagaa kila kona. Kule kibada kulizagaa makaburi kila kona kiasi ilibidi serikali itumie gharama kubwa kuyahamisha ili zoezi la kupima viwanja lifanikiwe. Hapo ndio niligundua kuwa jamii fulani ya watu, sio tu inazaa hovyo, bali pia inazikazika hovyo. Baadhi ya hayo makaburi yaliyofukuliwa yalikuwa na maajabu. Kuna binti alizikwa miaka 9 iliyopita lkn alipofukuliwa alikutwa bado mbichi, ameoza maeneo ya tumbo tu. NIkajua ni yale mambo yetu ya kienyeji yale
afadhali uamuzi huo utawasaidia, maana siku hizi mnaweka nondo na zege juu, bila kusahau tiles !
Sisi mila yetu ni ya Nabii Ibrahim !
afadhali uamuzi huo utawasaidia, maana siku hizi mnaweka nondo na zege juu, bila kusahau tiles !
Sisi mila yetu ni ya Nabii Ibrahim !