KERO Nikidai risiti ya EFD naambiwa bidhaa itapanda bei

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Steve Njimaita

New Member
Joined
May 27, 2020
Posts
4
Reaction score
2
Nimekuwa nikikutana na kadhaa moja pale ninapokwenda kukunua bidhaa dukani na kudai risiti ya EFD huwa naambiwa, Ukitaka risiti ya EFD bidhaa hiyo bei yake inapanda otherwise tukuandikie tu au uende bila risiti.

Swali langu ni je, na huko kwenu ipo au ni huku tu, na vipi kuhusu hilo suala limekaaje Kitaalamu, kwamba EFD inahusikaje kuongeza bei ya bidhaa, na TRA au watu wanaohusika na masoko wanajua kuhusu hilo .?
 
Wabunge wameongezewa muda ndio unatakiwa ulipie bata lao. Sio muuzagi sw. Wabunge wanatumia kodi zetu bila huruma kabisa ndio maana unaambiwa ITAONGEZEKA Bei sw.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Nimekuwa nikikutana na kadhaa moja pale ninapokwenda kukunua bidhaa dukani na kudai risiti ya EFD huwa naambiwa, Ukitaka risiti ya EFD bidhaa hiyo bei yake inapanda otherwise tukuandikie tu au uende bila risiti.

Swali langu ni je, na huko kwenu ipo au ni huku tu, na vipi kuhusu hilo suala limekaaje Kitaalamu, kwamba EFD inahusikaje kuongeza bei ya bidhaa, na TRA au watu wanaohusika na masoko wanajua kuhusu hilo .?
Ufisadi wa ngozi mweusi
 
Inapandaje bei kwamba atakuuzia kwa bei ya kukulangua?
 
Dai risiti EFD la sivyo itakula kwako kwenye kodi ya income tax, maana hiyo expense haitatambulika na mamlaka, anyway sijui kwa TRA ila KRA wako makini sana.
 
Akikupa risiti ya efd inabidi akutoze Kodi(V.A.T) ili akawape TRA Kodi Yako hiyo

Yeye anakuwa wakala kati Yako mteja na TRA.
 
Dai risiti EFD la sivyo itakula kwako kwenye kodi ya income tax, maana hiyo expense haitatambulika na mamlaka, anyway sijui kwa TRA ila KRA wako makini sana.
Ipi wakati hata tin namba Hana
Angekuwa na tin at least wengine wanadai Tu basi Hana hata kazi nayo
 
WaTZ tunapenda vitonga sana,sasa mfanyabiashara naye akukupa kwa kitonga jiongeze,siyo mtu baada ya kutoa hela na kupewa bidhaa unajidai mjuaji babulai
 
Ndo shida
Halafu ulipaji WA Kodi hauko fair hata kidogo
Mfumo haijakaa sawa.yaani
 
Wafanya biashara wengi wanatumia hio mbimu kukwepa tu kodi mi mwenyewe nimeshakutana na iyo issue kwenye viduka uchwara hapo issue mbona ndogo si anatakiwa kukutajia bei ya bidhaa ambayo VAT inclusive tu kwani mteja kasema hana iyo pesa ya kulipia bidhaa?maduka makubwa hayana huo ujinga
 
Kuna bidhaa zingine hazina VAT na zingine kweli zina VAT. Wanachofanya ni kukuzuga ili ukatae risiti . Ila kumbuka kama wewe ni mfanyabishara itakuwa imekula kwako ukikataa risiti maana kwenye hesabu zako utakosa ushahidi wa matumizi yako ya biashara. Kama ni VAT na wewe siunakuja uza na VAT na mwisho wa siku utarejeshewa baada ya kuangalia manunuzi na mauzo? Dai risiti ndugu yangu kuepuka tra kukudaka na bidhaa isiyo na risiti au ukiuziwa famba utaanza wapi kudai haki yako?
 
Back
Top Bottom