Nikibadili Email kuna tatizo?

Nikibadili Email kuna tatizo?

Joined
Jul 26, 2017
Posts
43
Reaction score
12
Naombeni kuuliza jamani et Kama umefanya application mwez wa tano pale kweny profile yako ukibadilisha email tofauti naile uliyotumia kipindi naanza application kuna Tatizo? Nilifanya application ya diploma sasa email niliyotumia kipindi kile nimebadilisha nimeweka nyingne naombeni msaada jamani nijue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aggy apo tatzo litakuwepo kama ile email ya kwanza ndiyo iliyotumika kwenye aplicationyaani zile form kama ulizirdisha chuoni bila kubadili email kwani majibu yako yataenda kwenye email ambayo IPO kwenye zile form

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umesahau password bora ufanye utaratibu wa kuomba ubadirishe password ila email ibaki ile ile. Kwenye maombi wanasisitiza usibadirishe _ communication zote zinapitia kwa email uloijaza
 
Naombeni kuuliza jamani et Kama umefanya application mwez wa tano pale kweny profile yako ukibadilisha email tofauti naile uliyotumia kipindi naanza application kuna Tatizo? Nilifanya application ya diploma sasa email niliyotumia kipindi kile nimebadilisha nimeweka nyingne naombeni msaada jamani nijue

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia kwenye email yako ya zamani ña kuingia kwenye forget password itakupa option ya kupata password mpya
 
Kwenye mambo ya maana jaribu kuwa serious kidgo.. sasa we unabadilibadili tu email ili iwaje.. kuna best yangu fulan aliwah kukosa chuo last year mambo kama haya...
Jiangalie aiseeH
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom