GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Nimetafakari Sana Kuwa Kwa Jinsi Watanzania Tulivyo Busy Na HARAKATI Za KIMAISHA Iwe Kwa WANAUME Na WANAWAKE Hali Inayopelekea Wengi Wenu ( Mimi Simo ) Kukosa Muda Kabisa Hata Wa Kunyoa NYWELE ZENU ZA SIRINI a.k.a Mavuzi.
Hivyo Katika Mapambano Yangu Ya Kutumia FURSA Na Baada Ya Kugundua Watu Wengi Ni WAVIVU Kunyoa Nimeona NIANZISHE SALON MAALUM Kwa KUNYOA HIZO NYWELE ZA SIRINI Ambapo Nitaweka Mazingira Mazuri Ambayo Yatamfanya MNYOLEWAJI Asijisikie Vibaya Na Badala Yake Avutiwe Na Aje.
Hivyo Basi Naomba Kuuliza:

- Je Hili WAZO BIASHARA Ni Zuri?
- Je Nitapata FAIDA Ya Haraka?
- Je Kile Kibao Cha SALON Ya Aina Hii Nikiandike Vipi?
- Je Nichukue TAHADHARI Gani / Ipi Labda Kutoka Kwa WATEJA Watakaokuwa Wanakuja?
- Je Nianze Na Wafanyakazi Wangapi Na Wengi Wawe Wa Jinsia Gani / Ipi?
- Je Niwe Natoza Fixed Price au Kulingana Na Aina Ya PORI ( Nywele ) Za Mteja Za Sirini?
- Je Wafanyakazi Wangu Watakuwa Wanapata CHANGAMOTO Gani Labda?