asante tenaaa
niki somaaaaa
mwenye elimu mwenye elimu
anani inspire niongeze jiwe la pili
hata mi ntaitwa dk soon
hata km phd ya kuzoa taka ya kwako!!
Da mkuu hapo ndio umeongea, hamna kitu kilichokuwa kinachoharibu likizo yangu maridhawa kama Sup haswa kwa masomo yao yasio na kichwa na miguu hilo DS.
Kabla sijakanyaga madarasa ya chuo kikuu nilidharau baadhi ya kozi lakini baada ya kufika na kujionea sikuwahi dharau tena degree ya chuo kikuu kwakuwa hakuna inayopatikana kwa kuokota......
Nikifikiri safari ya elimu ilivyo ngumu siwezi mdharau au kumbeza anayeamua kwenda shule....
Daima thamani ya kwenda shule haitolinganishwa na chochote.
Elimu ni hazina pekee ambayo mzazi atayokurithisha hamna kitu kingine.Mimi sikatai huyo ndugu Niki kuchukua hiyo phd nilitaka afanye kazi angalau mwaka alichokisomea kabla hajaingia huo udaktari wa falsafa.Maana kuna kitu ambacho atakiona kitakachomsaidia hata kwenye huo udaktari pindi atumiapo huo mwaka.
Katika maisha kuna msemo unasema " live your life"
Kwa tafsiri sisisi "ishi maisha yako"
Mimi nawewe hatujui anaitaka kwa lipi yaweza kuwa kazi au kwa status tu but yote kwa yote inabaki kuwa ni maisha yake na amechagua kufanya hivyo....
Ila shule itabaki kuwa shule MTU atazunguka atakavyo atafanya yote kujifariji ila kuitwa msomi si kitu lelemama......
Inabidi huu mjadala niuachie hapa,natumai bwana Niki ametambua vitu fulani kwenye mjadala huu wetu.Ila tuzungukapo kote elimu itabaki kitu pekee cha urithi chenye thamani.
Mbona unatutukana mkuu.sasa mulugo ashakua waziri so sie tuache kusoma ama nijiunge vipi na chuo bila TCU??so vizuri,mnakera sana
Mmh ananini cha kujivunia alichosaidia sanaa..enyewe kang'ang'ania mziki baada ya kukosa ajira na degree yake ya kike mpaka uhonge penzi ndo unapata kazi..sa ye atahonga nn...
Soon ataitwa Dr.Nick wa pili.
Habari imekamilika hiyo,haina haja ya nyama.
Masters kasoma UDSM ana MBA....,
nampenda huyu kijana hadi nahisi kuumwa LOL
Hii first degree, sociology.
mkuu acha kuwa serious na hawa wanafki.. ww fanya yako kutimiza malengo yako.
Kuna msemo huwa naupenda Sana....
Degree ni degree hata ikiwa ya maua huwezi ipata kwa kupanga foleni....
Mungu akubariki mwalimu.
chezea kuruka vigingi vya sapu wewe?? chezea assignments na UE wewe??
Labda Kama hujui ladha ya kuitwa msomi.......
Daah acha kabisa....
I wish you all the best....
Unaweza bahatisha kuokota dhahabu but kamwe huwezi bahatisha shule.....
Msomi na asiyesoma wanatenganisha na mstari Mnene Sana.....
Chezea title ya Dr.?? Hapanaaaa
Si nilikupa homework utafute alichokua anafanya mchizi kupitia taasisi yake,kumbe bado na unakomaa tu eti angefanya kazi hata mwaka mmoja? Hebu ingia bongo five usome ,usiwe mvivu kakaElimu ni hazina pekee ambayo mzazi atayokurithisha hamna kitu kingine.Mimi sikatai huyo ndugu Niki kuchukua hiyo phd nilitaka afanye kazi angalau mwaka alichokisomea kabla hajaingia huo udaktari wa falsafa.Maana kuna kitu ambacho atakiona kitakachomsaidia hata kwenye huo udaktari pindi atumiapo huo mwaka.
Alimaliza masters hapo udsm mwaka Jana David! Inawezekana ulikua busy kule siasani!Itakuwa ni maajabu kutoka degree ya sociology moja kwa moja hadi p.h.d.
Soon? Hiyo phd ataisomea kwa miezi 6?..unaijua phd lakini?