Niki mbishi, stereo, one kujitoa m lab

Niki mbishi, stereo, one kujitoa m lab

Joined
Jan 6, 2013
Posts
8
Reaction score
1
wakali wa hip hop Tanzania one the incredible wamejitoa M LAB ambapo ndo studio walio kuwa wanarecord ngoma zao kali. wakali hao wa hip 2 hip hop wamethibitisha hili baaada 2 ya mkataba wao wao kuisha na bila ku sign makataba mwingine mpyaa, kwa sasa hatujaweza kupata jibu kamili kama wakali hao wameinngia mkataba na studio gani nyingine ila kwa taarifa za haraka haraka mkali mmoja kati yao ambae ni stereo ameingia mkataba na mwanamziki maarufu alie fanikiwa kuvuka border mzee wa comercial bwana AY. Sasa cjui kama kub kubaaa zitaendelea au laaaa tusubiri tuone
 
Back
Top Bottom