Nikataka ananipa na yeye akitaka nampa

Nikataka ananipa na yeye akitaka nampa

issa ramadhani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
1,319
Reaction score
260
wana JF kiukweli nilipo sasa wallah nimepata na ninafurahia,napata muda wote na yeye akitamani tu ananiambia nampa
 
Mapenzi machanga utayajua tuuu.. Ngoja Ukizoea urudi hapa tena
 
Watu wadogo issue zao pia huwa ndogo! Kwani mnapeana nini hasa ambacho ni cha ajabu?
 
Ushampigia mwenyekiti wa mtaa wako kuja kuchua mchango wa ujenzi wa Maabara?
 
Back
Top Bottom