Nikasome diploma ya Mechanical engineering au NIT au DIT?

Perfect G

Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
10
Reaction score
2
Wakuu samahan nataka kuuliza kati ya DIT na NIT wapi mnanishauri nikasome diploma ya mechanical engineering?

Nawasilisha na Asanten[emoji120][emoji120]
 
Je kuhusu kutoa hiyo taaluma c NIT wapo vizuri mkuu?
Uzuri upo kwa mwanafunzi mwenyewe, chuo kina sehemu ndogo sana kukufanya wewe uwe mahiri.

Ni kuwa na uwezo wa kujiongeza kwa kusoma vitu mbalimbali sio kusoma vya darasani tu.

But mimi siko kwenye field ya engineering so siwezi kuwa na jibu murua.
 
Kwahio utoaji wa hio taaluma ni sawa tu hata ukienda DiT au NIT?
 
Uzuri upo kwa mwanafunzi mwenyewe, chuo kina sehemu ndogo sana kukufanya wewe uwe mahiri.

Ni kuwa na uwezo wa kujiongeza kwa kusoma vitu mbalimbali sio kusoma vya darasani tu.

But mimi siko kwenye field ya engineering so siwezi kuwa na jibu murua.
[emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom