kinjumbi one
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 1,696
- 2,159
Waungwana, Kama kuna mtu alipata matokeo ya team yetu ya Serengeti boys na kenya, match iliyochezwa jana, naomba kuyafshamu,
Asante.
Asante.
Asante sana.Walishinda 2-1 Tz wameingia fainali