Nijuzeni mana huwa sielewi

Nijuzeni mana huwa sielewi

mi nataka nitongozwe na mwanamke mbona fresh tu.....sema haitokei sasa ndo shida
 
Kwa sasa inaonekana ni kitu kigeni kulingana na tamaduni zetu lakini siku zinavyozidi kwenda wanaume tutazoe na kuona ni jambo la kawaida mwanamke kumtongoza mwanaume Si wanataka usawa huo ndo mwanzo wake
 
Hakuna penzi la mwanamke kuanza kumpenda mwanaume atakutesa sana hata ikiwa sio kwa kukuonesha,labda iwe bahati kwamba na yeye alikuwa anakupenda ila wewe umewai kumwambia.
 
Hakuna penzi la mwanamke kuanza kumpenda mwanaume atakutesa sana hata ikiwa sio kwa kukuonesha,labda iwe bahati kwamba na yeye alikuwa anakupenda ila wewe umewai kumwambia.
ni kweli kabisa. sembuse anaweza kukupenda halafu unajua inafika mahali mwanamke unapenda zaidi ya mwanzo na akijua vile vile unateseka.

haya mapenz hayana formula bhana akifika mahali akianza kukuchukia au ku act awkward, una take time on how to make things move as before and you move on.

No need ya wewe kujiua au kujikondea mwenyewe.

and i tell you if you insist on kujikondea no one will love you. =period=
 
wewe si ulinambia unanipenda au ulikuwa unataka kuniibia?
 
utaishia tu kugegedwa bure bila hata maji ya kunywa! hata kama unampenda vipi mwanaume kama hakupendi ni mateso makubwa.shinda tamaa
Mkuu, si sahihi, wengi wanadumu kwa raha mustarehe hata kama mwanamke ndie alietongoza. Mapenzi yanaweza kuwa machungu kama mwanaume alietongozwa hajielewi, umri wa utoto na ushamba.
 
HAHAHA HAPA lazima wanaume tujibu vizuri ili tufungue nafasi za kutongozwa ati. Mwanadada kuwa makini kwenye kutongoza na ukiwa na Ujasiri huo pia uwe na UJASIRI wa TENDO LA NDOA pekee sio malengo😉🙂
 
Ili nami nikupende niahidi kuwa utaachanana yule muhuni wako
haaaa tena sitaki tena. y unamuita muhuni? na masharti yako magumu.

hapa imejieleza yenyewe kuwa ukimpenda mwanaume unajitafutia matatizo.

well noted but am not ready.
 
Heshimu hisia zako, kama kuna mwanaume unampenda mwambie, na mwanaume kukataa tongozo la mwanamke ni ngumu.....
 
utaishia tu kugegedwa bure bila hata maji ya kunywa! hata kama unampenda vipi mwanaume kama hakupendi ni mateso makubwa.shinda tamaa
So hautomuambia kwa sababu utagegedwa bure au kuhofia hakupendi...sijaelewa point yako!!!Ukitongozwa ndyo haugegedwi bure!!!
back kwenye mada...wanaofikia hatua ya kumpa.ukweli mwanaume huwa hawana shida ya pesa....kwanza inahitaji guts za kutosha kama hauna confidence hauwezi.

nb...si kila anayeanza mahusiano anataka pesa..
 
Back
Top Bottom