Nijuzeni mana huwa sielewi

Nijuzeni mana huwa sielewi

bishontongo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2016
Posts
239
Reaction score
223
Hivi mwanamke kumtongoza mwanaume ni tabia ya kawaida au ni umalaya?
da92610c42940e70ef9f230201b9097e.gif
ef45d7cd1ebc7954bf72ccd1972fe292.jpg
89ac1653da18bdbff20b9199e7dcb5f7.jpg
 
Hili swali muulize hata mwanako wa kumzaa atakujibu vyema tu..
 
utaishia tu kugegedwa bure bila hata maji ya kunywa! hata kama unampenda vipi mwanaume kama hakupendi ni mateso makubwa.shinda tamaa
Mhhh nimeuliza sio kwamba ni matarajio yangu wala stegemei na haijawai tokea na haitatokea .ila nijuavyo mie si utamaduni kwa mtoto wa kitanzania.
 
Sio umalaya kabisa
Jamani kama kuna dada ananizimia humu DM yangu iko wazi 24/7,karibun
 
utaishia tu kugegedwa bure bila hata maji ya kunywa! hata kama unampenda vipi mwanaume kama hakupendi ni mateso makubwa.shinda tamaa

Hahahha ulitakaje sasa? kwa nini usitoe ki tikirinya acha uchhoyo au ufe na utamu wako.
 
Haijakatazwa mwanamke kumtongoza mwanaume jamii inachukulia Kama vile binti aliekosa nidhamu lakin sivyo ukimwona mwanaume anatabia njema ukahisi he can make a good husband basi unamwambia kwa adabu tu.

Kuna vingi wanawake tumekatazwa Kama vile tabia ya kununanuna,kutokuwa na shukrani, kukaa Faragha na mtu ambae sio maharimu wako n.k
 
Back
Top Bottom