Wadau, tafadhali anayefahamu shule ya wasichana rugufu sekondari anisaidie kupata taarifa muhimu. Kuna mdogo wangu kachaguliwa hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ukisoma apa unaelewa??Wadau, tafadhali anayefahamu shule ya wasichana rugufu sekondari anisaidie kupata taarifa migomu. Kuna mdogo wangu kachaguliwa hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app