Nijuzeni haya kuhusu mikopo elimu ya juu

Sep 15, 2016
17
8
Kuhusu suala la mikopo kwa wanafunzi wa kidato cha sita 2018 limekaaje maana
1. Bado mitihani inaendelea
2. Posts za JKT zinatarajiwa kutoka.
3. Viambata ambavyo ni Results Slips bado.

Imekaaje? msaada please
 
Lakin nadhan zamu ya form six bado but mwaka sisi tuna apply tulitumia result slip ya form four only
 
Kuhusu suala la mikopo kwa wanafunzi wa kidato cha sita 2018 limekaaje maana
1. Bado mitihani inaendelea
2. Posts za JKT zinatarajiwa kutoka.
3. Viambata ambavyo ni Results Slips bado.

Imekaaje? msaada please
kwenye application unatumia reg number yako ya form 6 km umemaliza mwaka huu
 
Wanatafuta sababu ya madogo kukosea kujaza fomu,,,, haya yamenitokea mwaka jana nilikuwa ruvu jkt pwani, result slip ipoo kigoma, chet cha form four hom,,, kambin ukoo ilikuwa mwendoo wa kuvurugwaaa,,,,
 
kiujumla kuna maswala mawili hapa serikali iyaweke vizuri. kwanza kwa form six waliomaliza mwaka huu ni vizuri wakatumia namba ya mtihani ya form six au wakaambatanisha matokeo. result slip ni changamoto na zinachelewa kutoka. pia uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa ungeachwa kwenye rita ngazi za wilaya ili kupunguza gharama na usumbufu....
 
mkuu usiwe na haraka sana juu ya hilo kwani watatoa utaratibu jinsi ya kuapply kwani application za mkopo huwa baada ya watu wote tayari washaaply vyuo na wamechguliwa na vyuo husika. bt vitu vya msingi ambavyo ni muhimu ni cheti cha form 4,passport size,birth certificate,death certificate (if any), na awe amekariri namba zote mbili za mtihan form 4 na 6 result slip ya fm 6 sio necessary bcoz atascan matokeo yake kutoka necta, mi mwaka jana sikutumia result slip kabisa bt chuo watakihitaji uendenacho
 
Application mbona kitambo zishaanza
 
Na Huo Mkopo Kwenye Kuulipa Utajuta! Ukikopeshwa Milioni 6 jiandae Kulipa 10 trust me! Waulize Waliokopa Wanalipa Kitu Kinaitwa Retention Fee ambayo Wanadao Eti Wanalinda Thamani Ya Shilingi.

Kwahiyo Shilingi ikishuka Thamani Basi Na Mkopo Wako Unaongezeka!! Kwahiyo Thamani Ya Milioni 6 uliyokopesha Baada Ya Miaka 10 ya Kulipa Kwako (Kila Mwaka Laki 6) unaikutia imeshakuwa Milioni 10.

Kwa Ufupi: Mkopo Umeingizwa Riba Kiujanjaujanja
 
Ayooo ni badaee saiz tunahitajii booom tuuu na si vinginevyo
 
Back
Top Bottom