Nijuzeni: Copy and Paste kwenye simu..

Malingumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
616
Reaction score
433
Habarini..
naomba kuuliza kuhusu hii issue ya kucopy na kupaste katika simu... hivi ni kwa muda gani ulichokikopy kwa kutumia kidole chako unaweza kaa nacho kabla hujapaste?...halafu pia ulichokikopy kinakaa wapi maana nimetest kupaste hata kwa kidole cha mguu wakati nilicopy na kidole cha mkono na nikaona kinapestika!!!
 
Du! Hiyo kali
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
copy na paste kwenye simu ipo kama kwenye computer inaweza kukaa as long usizime simu.Ukizima simu inafutika katika memory ya simu
 
Kiio ni feki, huwezi tumia kidole cha mguu au njiti ya kuchokonolea meno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…