Nijuze kuhusu hili please!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nijuze kuhusu hili please!!!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by sixlove, Apr 12, 2012.

 1. sixlove

  sixlove Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Nimefungua duka la vipodozi ili ku generate capital, nahitaji kujua zaidi agents wakubwa wanaosambaza cosmetics mikoani. Moja kati ya agent niliosikia ni ARISE BEAUTY SUPPLY, sasa nahitaji kufahamu wapo dar sehemu gani? PLEASE MIND THAT UR INFORMATION SHOULD BE DIRECTIVE. ASANTE KWA KUNISAIDIA.
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Nafikiri ungepeleka kwenye jukwaa la biashara ungepata michango zaidi. Humu ni mahusiano zaidi!
   
 3. Primitive

  Primitive JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  MMU= Mahusiano, Mapenzi na Urafiki! so hii ina fall wapi kati ya hizo kategori?
   
 4. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Atakuwa ameelewa na naamini ataipeleka sehemu husika.
   
Loading...