M mattnard Senior Member Oct 14, 2012 106 32 Oct 25, 2012 #1 wakubwa ivi hizi nafasi toka tume ya uajiri serikali wanataka hadi uwe na cheti?mi nina provisional vipi sistahili?
wakubwa ivi hizi nafasi toka tume ya uajiri serikali wanataka hadi uwe na cheti?mi nina provisional vipi sistahili?
M MAPENZI UPOFU Member Sep 5, 2012 10 1 Oct 25, 2012 #2 dah pole sana mkuu, kama huna cheti usiingie hasara ya stationary itaishia kwny dampo