"takukuru my ass"we kula rushwa bana, nchi yenyewe hii hata usipokula wenzio wanakula, kwa hiyo ili kuwe na uwiano, rushwa lazima itumike, kwa mfano kama hii bajeti iliyopita inasema adhabu za barabarani zitakuwa elfu 50,000, nani atatoa hiyo pesa instantly? si bora nimshikishe traffic police 5000 nisave 45000,elfu ishirini yenyewe ilikuwa kimbembe, rushwa is there to stay, Takukuru am soree
Zingatia ushauri huu.Kumbe kuna wa TZ wenye akili.Mungu abariki kazi za mikono yako ANFAAL.Ushauri wa kula rushwa ni wa kijinga saana. Tamaa hazisaidii katika dunia hii. Unajenga nyumba kisha unajua ninaishi ndani ya rushwa. Unakula chakula, unajua nakula rushwa. Ndugu yangu kama umeandika haya kwa yakini, basi nakusihi saana fikiria kujiendeleza au tafuta means ya kuwa hata na biashara nyingine uongeze kipato, utaishi kwa amani saana.Maisha au mali inayopatikana kwa rushwa haina amani wala raha bali ni karaha tu. Behaviorists wanasema kwamba, ukipata kitu kwa jasho lako mwenyewe basi utunzaji wake ni tofauti na ule ambao unapatikana kwa njia tofauti. Labda nikutolee mfano kwenye very basic level; Leo kampuni ya simu ikisema kutuma meseji ni free basi hata kama hauna shida utahangaika na simu yako ili uipate ile free. Vivyohivyo, kipato kwa njia ya rushwa kitakufanya uanze kutafuta matumizi na hata kama utaamua kutoa sadaka haisaidii kitu.
Mkuu nilishtuka baathi ya comment hapo juu kuhusu kupokea na kula rushwa. Nilivyosoma hii post yako nimepata nguvu ya kupingana na hali ya kishawishi kibaya. Nimeandika hii post serious kabisa sio kwamba ni utani. Nashukuru kwa kunionya na kunitia moyo. Pia Wat TZ tusipende kutia wenzetu katika majaribu unavyomshindilia mtu hela huku hana unamweka kwenye wakati mgumu.Ushauri wa kula rushwa ni wa kijinga saana. Tamaa hazisaidii katika dunia hii. Unajenga nyumba kisha unajua ninaishi ndani ya rushwa. Unakula chakula, unajua nakula rushwa. Ndugu yangu kama umeandika haya kwa yakini, basi nakusihi saana fikiria kujiendeleza au tafuta means ya kuwa hata na biashara nyingine uongeze kipato, utaishi kwa amani saana.Maisha au mali inayopatikana kwa rushwa haina amani wala raha bali ni karaha tu. Behaviorists wanasema kwamba, ukipata kitu kwa jasho lako mwenyewe basi utunzaji wake ni tofauti na ule ambao unapatikana kwa njia tofauti. Labda nikutolee mfano kwenye very basic level; Leo kampuni ya simu ikisema kutuma meseji ni free basi hata kama hauna shida utahangaika na simu yako ili uipate ile free. Vivyohivyo, kipato kwa njia ya rushwa kitakufanya uanze kutafuta matumizi na hata kama utaamua kutoa sadaka haisaidii kitu.
mwambie mkuu,haelewi!zitwange tu chamwenzio sio chakwako.
unaonekana bado hujawahi kwenda sehemu nyeti ukaombwa rushwa,kama vile hospitali,mahakamani,polisi na sehemu nyingine,ipo siku utakwenda sehemu hizi utakosa huduma,au utaipata kwa muda ambao utakuumiza,tulia tu,kupokea rushwa kutakuja automatically!wala hutatuomba tena ushauri humu,utaanza kuzitwanga kimya kimya tu!Mkuu nilishtuka baathi ya comment hapo juu kuhusu kupokea na kula rushwa. Nilivyosoma hii post yako nimepata nguvu ya kupingana na hali ya kishawishi kibaya. Nimeandika hii post serious kabisa sio kwamba ni utani. Nashukuru kwa kunionya na kunitia moyo. Pia Wat TZ tusipende kutia wenzetu katika majaribu unavyomshindilia mtu hela huku hana unamweka kwenye wakati mgumu.
unaonekana bado hujawahi kwenda sehemu nyeti ukaombwa rushwa,kama vile hospitali,mahakamani,polisi na sehemu nyingine,ipo siku utakwenda sehemu hizi utakosa huduma,au utaipata kwa muda ambao utakuumiza,tulia tu,kupokea rushwa kutakuja automatically!wala hutatuomba tena ushauri humu,utaanza kuzitwanga kimya kimya tu!
Ndg zangu wana JF na watanzania kwa ujumla. Na mika mingi tangu nimalize elimu ya juu hapa TZ nikabahatika kupata kazi. Kazi yangu ni inahusika na kutoa huduma kwa wateja sasa kabla hata sijaomba wala kuonyesha dalili za kuitaka rushwa wateja wamekuwa wakiniwekea katikati ya forms zao kiasi cha fedha kila mara nacho kifanya kwa vile kuna number zao za simu nawapigia na wakija nazirudisha zile fedha. Kwa sasa nakaribia kushindwa uvumilivu kwa vile kodi za nyumba ziko juu sana sana, nimekopa bank ili nijenge nimepata milioni 3 na nusu viwanja hatua 20x20 ni mil 5 je nitajenga kweli? Na shirika halina hata mpango wa kuongeza mishahara.
Wakati mwingine nashawishika Kula rushwa ila namwona kama Dr. Slaa ananiambia endelea tu watanzania wanakuona. Naona naharibu imani yangu na Mungu wangu.kwa sasa sahani ya chakula cha mchana imefikia TZS 3500-5000 na 3500 kwa maeneo ya ofisi yetu ni kwa mama ntilie. Wenzangu mnafanyaje mkipambana na hali kama hizi??
Cha kushangaza wenzangu niliotoka nao chuo wenye kipato almost sawa wana majumba makubwa Boko na Mbweni. Maisha sio mchezo.
nisaidie mkuu kumuelimisha huyu bwana,naona hanielewi kabisaaaaa,anjaribu kujaza maji kwenye gunia!yupo kwenye tanzania ya akina sokoine bado,hajui sasa ni akina rostam,chenge lowassa nk,watanzania amkeni tushirikiane kubomoa ili baadae wote tufeel uharibifu,kama kuijenga upya nchi tuamue wote,sio wachache wanajenga halafu wengine wanabomoa!chukua hela hizo,.rushwa unaijua wewe?kama hiyo wanayokupa wateja ni rushwa anayopokea rostam,lowassa,chenge,jk na vigogo tuiiteje?kama yako ni rushwa basi yao ni mauaji kwa risasi,utaiacha hiyo hela na barabara ya kuingia mtaani kwenu itaendelea kuwa ya vumbi...this is what they made us,..iam a ma made nigga...uzalendo umeshaisha nchi hii.
mbegu huharibika ili kutoa mmea mzuri,sasa kama wakubwa wanabomoa,c bora tuwasaidie kubomoa ili tuharibu kabisaaaaa,halafu baadae tukiona madhara kwa pamoja tutafeel na kuwa responsible kwa nchi yetu,nakuambia wengine hawafeel kabisa nchi hii,rostam,lowassa utawazungumziaje wewe?lazima tuzungumze lugha moja,na hii itakuja automatically kama we will all get a pain in an assmhhhh!!!...watu wenye attitude kama ya kwako, ndo mnaosababisha nchi yetu iwe kama ilivyo leo....🙁